Chadema wafanaya maandamano makubwa Namanyere Nkasi

tatizo namanyere wana mbunge mmoja ambaye hata jina lake hajui kuandika anaitwa ali mabodi, huyu muarabu koko alichaguliwa kwa ajili ya vijisenti vyake tu lakini sio akili au uwakilishi. mie namfahamu fika kwa miaka mingi na ninajua hajui kusoma wala kuandika huwa anasomewa na mwanae mmoja anaitwa meddy. kama kuna mtu anabisha aseme
 
Hapa tulipofika sasa watanzania tunaanza kujitambua. Mi natamani siku moja nchi yooote tuandamane kudai haki yetu ya huduma za kijamii. huduma za maji, umeme, dawa hospitalini, vitabu mashuleni, barabara nzuri. Itasaidia kuwafanya hawa viongozi dhalimu kugundua kuwa tumeamka.
 
Uzuri hao ni Wakristo, wangekuwa Waislam tungeogopa, waacheni

Kaka acha Udini nakukumbusha tu mwee!!!Wake up man sie wote ni Wabongo kaka sahau mambo ya kidini kwenye mambo ya muhimu kama haya ya ukosefu wa maji,umeme na kila kitu havijalishi wenye dini na wasio na dini hata hao PoliceCcm nao wamo kwenye shida hiyo so tuvute subra tuache mambo ya ajabu ajabu.
 
kwani na lile bomu lilimlipuwa katibu wa bakwata arusha ni la cdm .....
Kwa siasa za Bongo sio ajabu yakasemwa hayo, maana imani iliyojengeka kwa chama tawala ni kuuona upinzani kama mharibifu tu, na hiyo imejengwa kimkakati ili jamii ikuone upinzani haufai na ni wa vurugu tupu usio na jema ila ccm. Tena kwa Arusha ambako ccm imeapa kurudisha nguvu yao (alisema majuzi tu mwenye kichwa cheupe)
 
Back
Top Bottom