Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,086
Wana kibali cha polisi.
Haki haiombewi kibali.
Wana kibali cha polisi.
kama nyinyi mnavyochinja polisi?Kama wanacho hakuna tatizo kinachotakiwa ni kufuata sheria za nchi.
JWTZ wameshaingilia maandamano?? CDM wawe makini na vitu vizito!
Ni vizuri ukafikiri kabla ya kuropoka. Udini unakusumbua sana wewe. Ukristo na Uislamu unaingiaje hapo kwenye maandamano ya kudai huduma bora za jamii? Mara nyingine ni vizuri kuficha upumbavu wako kwa kukaa kimya. Kumbuka kwamba "A fool speaks because he has to say something, but a wise man speaks because he has something to say". Tafadhali tuko kwenye jukwaa la siasa sio la dini.Uzuri hao ni Wakristo, wangekuwa Waislam tungeogopa, waacheni
Sawa mkuu, lakini kwa mapolisi amani ni pale unapowamwagia sifa hata kama ni za uongo. Vinginevyo Afande Arufonso atatumia msuli uncoordinated with upstairs.Jasiri haogopi risasi, bora hao polisi waweke silaha zao chini, maana wamesha ambiwa kuwa ni maandamano ya amani
Mkuu kwani Chadema hakuna waislam.....
Niko katika mji wa Namanyere. Umati mkubwa sana wa watu ukiongozwa na CHADEMA wanafanya maandamano kulalamikia hali mbaya ya maji na ahadi za uongo kuhusu umeme.
Hivi sasa wanaelekea kwa mkuu wa wilaya, ni maandamano ya amani.
Ntaendelea kuajuza
Sio mashehk pekee kuna Uamsho na ili la karibuni Uhasi ndani ya UVCCM.Intelijensi ipo bize na Mashekh
Wana kibali cha polisi.
Wana kibali cha polisi.