Chadema wafanaya maandamano makubwa Namanyere Nkasi

Hapo sasa polisi na hasira za kuuliwa kwa afande wao wtakufa na mtu wa CDM Namanyere. Wamesahau yaliyomkuta Daud Mwangosi?
 
Sasa hapo ndio polisi utawaona, lakini kwenye chaguzi zao za nyinyiemu mpaka watu wanapigana na viti na kufukuzana mitaani kama huko mara na dodoma na mwanza walaaaa polisi hawana habari lakini wasikie tu chadema wako sehemu fulani nyswele mpaka za kwapani zinawasimma, she,,,zi zao wapuuzi wakubwa hao,,, watu wanagawa rushwa za pesa na ngono katika mauchaguzi yao sasa hoivi lakini si matakoo makuu walam polisi unaowasikia wamechukua hatua, yanaboa sana haya mavyombo ya sheria
 
tanzania huwa hatuna maandamano ya amani, police wakiamua baada ya kupata tamko kutoka kwa wakubwa zao wenyewe wakiambiwa ua wanaua tu inshaAllah Mungu awalinde
 
Inshaallah!!Allah atawalinda makamanda woote walioshiriki maandamano hayo kudai haki zao za msingi kwa mwanadamu ambazo magamba yamezipora na wanagawa kama fadhila ili wendelee kutawala kwa hila,amkeni raia wa tanzania msiogope vitu vizito ni matishio ya watawala ila wamuulize Kanal Gadaffi na nguvu yote aliyokuwa nayo leo hii iko wapi??????????????
 
Niko katika mji wa namanyere. Umati mkubwa sana wa watu ukiongozwa na chadema wanafanya maandamano kulalamikia hali mbaya ya maji na ahadi za uongo kuhusu umeme. Hivi sasa wanaelekea kwa mkuu wa wilaya. Ni maandamano ya amani. Ntaendelea kuajuza

Uzuri hao ni Wakristo, wangekuwa Waislam tungeogopa, waacheni
 
Back
Top Bottom