Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

Hizi wala sio ndoto ni mawazo ya mvuta bangi, CDM haiwezi kuchukua hii nchi,bado chama kichanga sana na kinapata support ya watanzania wasio wapiga kura. Kipigo watakacho kipata 2015 ni kibaya sana kiasi kwamba kuna wengi watakufa kwa presha. Wakipata wabunge watano basi washukuru mungu. Sugu.mnyika,Mdee na vijana wengine bora wakope kwenye chama na wao wajenge kabla ya chama kufa. Slaa kaisha jipatia kanyumba kake na Mbowe amesha chota nyingi kwenye chama.
 
Hii nimeipenda BAK safi sana............mie kuna mtu niliwahi kumwambia nikigundua hata ndugu yangu wa kuzaliwa ni gamba hata awe na shida namna gani simsaidii kabisa manake wao ndio wameifikisha nchi yetu hapa ilipo na wao ndio wanatuchelewesha kutoka hapa tulipo..........hawana maana kabisa!
Hii bomba!.. Tukifanya wote hivi tutaleta mabadiliko ya kweli hapa nchini.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yani jamaa wamechoka hawana hoja kabisa, kila wakija ni pumba tu, humu jamvini hawafiki hata kumi, ndo maana wanasema jf ni ya chadema, hivi Genius Brain yuko wapi siku hizi, unamkumbuka?

Quotable quotes: "Akili ndogo katu haiwezi kutawala akili kubwa" Mch Msigwa Mb.

All they have left are the likes of Mwigulu Nchemba, Werema, Wassira, Fundi mchundo Stella Manyanya just to mention a few; sasa sijui wewe unawaclasify vipi hawa?! as for me wote hawa wamo katika kundi la dead woods kama mtoa mada.
 
tumaini makene, john mnyika, watu wanalalamika sana mnawatenga waislam, chadema kama chama kikuu cha upinzani nchini mnashindwa hata kutoa salam za eid...waislam wameanza mfungo wa mwezi wa ramadhan mpaka wamemaliza mmeshindwa kutoa kauli ya kuwatakia mfungo mwema kama watanzania wenzenu, tunachoona humu ni kejeli tu kutoka kwa wafuasi wa chadema dhidi ya waislam waliofunga na wanaojiandaa kusherekea eid...

chadema hawana desturi ya kupongeza matukio ya dini. Hata christmas hawana utaratibu huo acha kulalamika huna kazi? Kazi kutoa makosa tu na kudeka.
 
Nakiona kifo cha CDM na jeneza lao. Hapa tulipo Chadema ni kama wanajipakaa mkorogo ,yaani wanapendeza sana,ukweli hamna kitu.
 
Ifike hatua tujenge mtizamo kwenye akili za watu kuwa ukiwa ccm basi wewe... Yaani wewe...dah hadi nashindwa kumalizia. Yani aonekaane hivyo.
 
Tatizo sio pilipili ila ni vitunguu vya Chadema ,maana inasikitisha sana kuona mnajenga tamaa ambayo tatizo lake ni kuja kukataa matokeo ,mkifikiria hasara na mnavyodanganyika na kujaa kwa wasio miliki kadi za kupigia kura ,hivi mnaelewa ya kuwa wale wanaohudhuria mikutano hawana sifa za kupiga kura ? Na zaidi ni wapenda shangwe na ngoma.
Thubutu muibe tena!! mtakiona cha moto!! hakuna cha jeshi wala mama yake jeshi!! moto mwendo mdundo pambafu. Psychological paralysis will not do any harm!! to us for we are prepared to take what is ours "the state house" PEOPLES ---POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hizi wala sio ndoto ni mawazo ya mvuta bangi, CDM haiwezi kuchukua hii nchi,bado chama kichanga sana na kinapata support ya watanzania wasio wapiga kura. Kipigo watakacho kipata 2015 ni kibaya sana kiasi kwamba kuna wengi watakufa kwa presha. Wakipata wabunge watano basi washukuru mungu. Sugu.mnyika,Mdee na vijana wengine bora wakope kwenye chama na wao wajenge kabla ya chama kufa. Slaa kaisha jipatia kanyumba kake na Mbowe amesha chota nyingi kwenye chama.
Wa kuchukua NCHI ni Wasira, NEPI, na nani? TISS wa mabwepande!! shame on you hata mkifanyaje kimeshanuka magamba. Nchi haitaachiwa tena MAJAMBAZI WA MABWEPANDE!! wote tumewashtukia!!
 
Hii nimeipenda BAK safi sana............mie kuna mtu niliwahi kumwambia nikigundua hata ndugu yangu wa kuzaliwa ni gamba hata awe na shida namna gani simsaidii kabisa manake wao ndio wameifikisha nchi yetu hapa ilipo na wao ndio wanatuchelewesha kutoka hapa tulipo..........hawana maana kabisa!

I like it.
 
Last edited by a moderator:
We ndo daydreamer, so continue dreaming utashtuka kushakucha, so endelea kulala ucngizi wa pono, maana ukimwamsha aliyelala.......................
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.
Kwa hiyo unataka kusema CCM wana hati miliki ya kutawala nchi hii. (Niseje pata ban bure hapa)
 
Thubutu muibe tena!! mtakiona cha moto!! hakuna cha jeshi wala mama yake jeshi!! moto mwendo mdundo pambafu. Psychological paralysis will not do any harm!! to us for we are prepared to take what is ours "the state house" PEOPLES ---POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ai ai aaaai ,we mwana mbona unakufulu ,yaani unatusi mpaka wakulu ,msione watu wamekaa kimya mkafikiri ndio mmeishachukua nchi ,pale Arusha ni akina nani walikunja mikia , wewe kamata maneno yangu viti vyenu vya ubunge havitozidi kumi ,tutatangaza mmeangushwa vibaya ,hio itatosha kuwafanya mrukwe na akili.

Mbali ya ushindi wa kimbunga ,CDM mtakuja kusema hapa Mwiba alituambia kuwa hatushindi ,tuombe uhai ,mnajua CDM ni kama mmo ndani ya bakuli mienendo yenu yote inakarabatiwa.Dalilizinaonyesha mnaanza kuvuka mipaka ,ila wakati wa kuzima moto wenu haujafika tusubiriane kwenye matangazo ,hivi si tunaingia kwenye uchaguzi na tume hii hii tulionayo ?

Au hamtashiriki ? tume yetu ya uchaguzi ipo ,na sote tunaikubali sasa nyie mtashindaje ?
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.

Kwa hiyo unashauri nn wewe kama great thinker??au walale tu na kutofanya ki2??kwako wewe ccm imekuletea maendeleo saaaana????ondoa kisonono chako hapa
 
"Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF, niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ... Chondechonde CDM ... ushindi kwenu ni mwiko...".

Maneno haya ni ya uchochezi na yanakaharisha na ni kinyume na KATIBA na Sheria. Anyway ni maoni yako, ninayaheshimu japo ni upuuzi mtupu kwani wewe una kura moja tu, kama mimi, kura ambayo hatashindisha CCM wala CDM mwaka 2015, hivyo sioni kama una haki ya kuwasemea Watanzania milioni kadhaa kwamba hawataipa CDM kura 2015. CDM wanafanyakazi yao ya kikatiba, ninawapongeza: mengine ni vionjo tu katika kutekeleza kazi hiyo.
 
Chama cha democrasia na maendeleo kimekua na nguvu kubwa kuanzia 2010 mpaka hivi sasa lakini ghafla kimeanza kupoteza mwelekeo baada ya kuanza mitafaruku ya hapa na pale ndani ya chama na kusababisha makundi mapema kabisa kabla hata hakijaingia ikulu baada ya viongozi wa chama kufukuza baadhi ya madiwani wao .

Na ukisha pata makundi ndani ya chama acha upinzani ni vigum sana kushinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom