Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.

upumbafu ni ugonjwa mbaya sana kumpata mwanadamu..
 
Mkuu Mwiba, haya usemayo ndio ukweli wako!, na kwa vile humu jukwaani wengine wetu tumefahamiana kupitia mabandiko yetu, hivyo Mkuu Mwiba, nshakufahamu unamaanisha nini!, baada ya nyie kuolewa, kumbe na wewe unaamini mtatawala milele kama wanandoa watiifu!, kumbe hujui atawaolea mke mwingine huo ue wenza mtauweza?.

Ni afadhali mtu anayeota ndoto kwa sababu kuna ndoto zinakuwa kweli, hata vitabu vitakatifu vimeandikwa kwa maono yaliyoletwa ndotoni, kuliko wale waliotulia ndoani baada ya kuridhika na mahari, wakijiamini ni ndoa ya milele ilhali wanaishi nyumba ya kupanga!. 2015 mwenyenyumba ataamua ama andelee kumpagisha mume wenu kwenye nyumba yake, au ampangishe mpangaji mpya mwenye angalau ndoto ya ukarabati wa nyumba!.
 
Naona bwana MWIBA umejaribu kuwa mkweli. Nadhani wanachama wa CDM wameona post yako na bila shaka wataifanyia kazi ili waachane na daydreaming.
IDD MUBARAK!
 
Yaani siku hizi kila mtu anayeipinga serikali au CCM ni CHADEMA? Au ninyi ndio wale akina Pangloss wa Jenerali This is rubbish at its best and do not attempt to grow brains on this!

Hujui ulisemalo humu JF tunafahamiana kupitia mabandiko yetu....hata kama una ubongo mdogo kama wa kuku jaribu kufikiria kabla ujaandika pumba.
 
Ritz una heri kwa kujitambua kwamba una ubongo mdogo kama wa kuku.
Ndio sababu mnatumika kirahisi tena kwa hela ndogo sana kwakuwa hakuna mnachokiwaza zaidi ya mlo wa siku hiyo tu!
 
Last edited by a moderator:
Pasco nimezisoma salamu zako za EID. Bila shaka umepata thawabu katika mfungo wako.
 
Last edited by a moderator:
Muulize gadafi atakuelezea yaliyo mpata . 2015 kama sio CDM ni sisi wazalendo tutamwondoa mkoloni mweusi kwa mikono yetu.

Msije kuwa nyie cdm ni zaidi ya MAFISADI maana watu wa kaskazi ni noma kwa ufisadi mfano BOT wamejazana kibao sasa mkipewa uraic si itakuwa BALAA
 
Sijawahi kuona thread ya Mwiba yenye mantiki au logic, nadhani futari inasababisha usingizi na kupoteza common sense kwenye fuvu lake!
Vp sheikh, wenzio tushafungua weye bado , au mwezi ulioonekana ni wa BAKWATA!

comment yako inahusiana nini na topic toa facts ama rebutals watu wakuelewe
 
Last edited by a moderator:
ww uneyewashangaa ni nani katika nchi ya watu zaidi ya millioni arobaini ,hiyo ni kazi ya chama chochote cha siasa kujijenga na wala hawavunji katiba kwa kufanya hivyo,sasa ww endelea kushangaa.
 
Una tatizo la uelewa ,unambiwa jamaa wameanza kujitajirisha kutokana na msunguko ,wewe unang'ang'ania hawavunji katiba ,ushindi kwenu ni mwiko ,sijui unanielewa ninaposema hivyo !Mnasumbuka tu ,maana sikioni kitakachowafanya mshinde ,na sifa za viongozi wa kuongoza Taifa kubwa kama Tanzania hamna ,na nikiangalia safu yenu simwoni Raisi wala waziri !
 
CUF je? Maana na wao wameanzisha operesheni yao. Sijui safari hii wataambulia walau kiti kimoja cha ubunge Tanganyika? Maana wao hawagombei kuingia ikulu bali kuingia bungeni.
 
tetesi CUF KUCHUKUA NCHI 2015 tehe teh teh teh teh. mwiba kaz ipo PEPOOOOOOOOOOOOOOOOOOZ POOOOOOOOOOOOOOOOOOwer.
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.

huyu ndo msemaji mkuu wa mungu
 
Frankly speaking wewe ndiwe day dreamer.Kwanza sijui kama you are in your right mind.Mimi ni CCM,tena kadi yangu ya kwanza niliichukuwa mwaka 1974,inawezekana wewe ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa mdogo sana. Sasa CCM ile ya wakati ule sio hii ya sasa.There are so many mistakes kiasi kwamba the damn thing doesn't qualify to be called CCM anymore.Ni dudu fulani tu liko hapo.People are fed up with this monster,it has to go.Tatizo lililopo CCM ni kwamba kila mtu anatekosoa tunamuona adui,kumbe rafiki,very stupid indeed.Unless we become objective and ready to work positively on criticisms,belive me beyond 2015,CCM will be history.
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.

Wewe ndiye una day dream,fanya majaribio andika majina ya vijana 10 hapo mtaani kwenu bila kujali dini, kisha waulize mmojammoja je ungependa mwaka 2015 dola ya Tz iongozwe na chama gani?usiweweseke
 
Subiri kidogo Chadema Addicted sasa hivi watajitokeza kupambana na wewe...ni sawa sawa umechokonoa shimo la mchwa.

Embu nyamaza.... Mawazo yako mabaya kama lisura lako.... mwone kwanza!
 
5393582.jpg
 
mheshimiwa nassari akifungua maji ya bomba katika kijiji cha ngobobo huko wilayani arumeru, kwa mara ya kwanza tangu uhuru.wamasi wameshakubali nani wa kukataa??

View attachment 62416
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom