Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

inasikitisha sana kuona mnajenga tamaa ambayo tatizo lake ni kuja kukataa matokeo ,mkifikiria hasara na mnavyodanganyika na kujaa kwa wasio miliki kadi za kupigia kura ,hivi mnaelewa ya kuwa wale wanaohudhuria mikutano hawana sifa za kupiga kura ? Na zaidi ni wapenda shangwe na ngoma.
Utafiti huu umeufanyia wapi wakati marekebisho ya daftari kuu la kura yanaendelea?
KATAFUTE HELA ya UBWAWA WA WATOTO BANA, au mambo yote yatakuwa kwa jirani?...lol!
 
Sio mchwa ni sangara ila hawa wawe 50 kwa mie mmoja tu ,watanichoka !

Tutakuchoka kweli manake unarudia vitu vile vile kila siku...........huli, hunywi, huogi na nna hakika pia hulali kwa sababu ya chadema!
 
Tumaini Makene, John Mnyika, watu wanalalamika sana mnawatenga Waislam, Chadema kama chama kikuu cha upinzani nchini mnashindwa hata kutoa salam za EID...Waislam wameanza mfungo wa mwezi wa Ramadhan mpaka wamemaliza mmeshindwa kutoa kauli ya kuwatakia mfungo mwema kama watanzania wenzenu, tunachoona humu ni kejeli tu kutoka kwa wafuasi wa Chadema dhidi ya waislam waliofunga na wanaojiandaa kusherekea EID...
 
Last edited by a moderator:
Utafiti huu umeufanyia wapi wakati marekebisho ya daftari kuu la kura yanaendelea?
KATAFUTE HELA ya UBWAWA WA WATOTO BANA, au mambo yote yatakuwa kwa jirani?...lol!

Mkuu hizi kejeli na dhiaka dhidi ya Waislam sijui kama unajua unazidi kuialibia Chadema dhidi ya jamii ya kiislam...JF inasomwa sehemu kubwa ya Tanzania wewe unaweza kuona unachoandika hakina madhara lakini kinaichafua Chadema...ni ushauri tu napita.
 
Hebu tubadilishie wimbo huu tafadhali manake tushachoka kuusikia kila kukicha.... Mwiba huna jipya kubali yaishe!

Hivi hili la mradi wa kujitajirisha kwa baadhi ya makobe kuzunguka Tz nzima wakitumia mwevuli wa sangara.hulioni kama ni jipya ,funguka !
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

hondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.

Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak( or
write).
 
Mkuu hizi kejeli na dhiaka dhidi ya Waislam sijui kama unajua unazidi kuialibia Chadema dhidi ya jamii ya kiislam...JF inasomwa sehemu kubwa ya Tanzania wewe unaweza kuona unachoandika hakina madhara lakini kinaichafua Chadema...ni ushauri tu napita.

Yaani siku hizi kila mtu anayeipinga serikali au CCM ni CHADEMA? Au ninyi ndio wale akina Pangloss wa Jenerali This is rubbish at its best and do not attempt to grow brains on this!
 
Hivi hili la mradi wa kujitajirisha kwa baadhi ya makobe kuzunguka Tz nzima wakitumia mwevuli wa sangara.hulioni kama ni jipya ,funguka !

there you are, . . . . .ukigeuka linakugusa, ukitembea linaingia.
 
Huo mtazamo wako kujifariji na baba zako;hayakuhusu fanya yako GAMBA kubwa wewe tena sjui la mbwa
 
Sasa chadema nani kuwa rais 2015 maana slaa ndio babu tena.. Mbowe hana mvuto., zitto wanamwita ccm b.. Wamekwisha habar yao
 
Gadafi na yeye alisema hivyo hivyo lakini leo yupo wapi??endelea tu kuota na kuwa na mawazo mgando

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sasa chadema nani kuwa rais 2015 maana slaa ndio babu tena.. Mbowe hana mvuto., zitto wanamwita ccm b.. Wamekwisha habar yao

Endeleeni kuwaza hivyo tu,zungukeni muone watu walivyobadilika

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Muulize gadafi atakuelezea yaliyo mpata . 2015 kama sio CDM ni sisi wazalendo tutamwondoa mkoloni mweusi kwa mikono yetu.
 
Haya wana chadema tuko pamoja mwambieni atoe uzi huo. Hana mwawazo ya kina huyo. Ajitoe na kuikana kauli yake.
 
Ukweli utajisemea wenyewe tu!
Cdm kinazidi kukua siku hadi siku,CCM mnajidanganya kudhani cdm itamalizwa na propaganda zenu ndio ndoto za mchana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom