Chadema waandamana arusha kuwa hawatambui meya wa arusha

Nakei

Member
Nov 10, 2010
44
11
Chadema wakiongozwa na Mh. Godbless Lema wameandama mjini Arusha wakielekea ofisi za manispaa, lilikuwa kundi dogo la vijana, baada ya dk kama 2 hivi mlio mkubwa kama wa bomu ulisikika, wale vijana walisambatika wote. Hatukusikia kitu tena, nadhani ndio ulikuwa mwisho wa maandamano. Wengi walikuwa watu wa lower class (vijana waliopigika na maisha) na lilikuwa kundi dogo sana. Nawashauri CHADEMA waache kufanya mambo kwa kujaribisha kama wameamua kufanya maandamano wawahabarishe watu wote kwa njia mbalimbali kama mitandao au hata vipeperushi. Arusha barabara nyingi mbovu na muda unaenda. Kama adui anakushinda ungana nae wananchi wapate maendeleo.
 
safi Sana,AZIMIO LA ARUSHA ,TANU WALIANZIA ARUSHA so nasi Tuanzie ARUSHA kuungóa utawala wa Kizembe na kutowajibika ulioletwa na Wezi wa Mali zetu,kwa mgongo wa CCM WANANCHI TULIO NA UCHUNGU NA NCHI YETU ,TUANZE KUPANGA MAANDAMANO WIKI HII HII,HAPA HAPA JF,NA KTK FACE BOOK.HI5,AND TWITER. PIA TUSIKOSE KUWAJUZA WTZ WENYE UCHUNGU AMBAO BADO HAWAJAANZA KUTUMIA HII MITANDAO YA INTERNET. ALUTA KONTINUA ......... PEOPLES POWER WILL ALWAYS PREVAIL
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom