CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

Kwa uzoefu wangu mdogo wa mageuzi ya kazikazini mwa Afrika polisi wakifanya kosa kuwaacha wakeshe hapo serikali itajutia, wakeshaji wataanza kuji organize kuleta chakula maji mahema na kadhalika vile vile wataanza kujiamini na kujawa na ujasiri hata waliokuwa wakisita watajiunga nao, wait n see.

kuna kikao kinaendelea huko dar juu ya hali ya arusha ..yawezekana lema akatolea dakika chache zijazo lakini kama hawatakubaliana kwa hilo basi itabidi wajiandae kwa maafa makubwa
 
Hivi jamani vyombo vya habari tz vipo kweli? cjaona coverage ya hili la Arusha. wana Arusha itumieni nafasi hii vizuri kwani atakapokuja huyo chars kesho andaeni mabango mazuri ya kingereza ili dunia ijue kinachofanyika hapa. semeni yote mnayoyajua kwani kutakua na vyombo vya habari vya nje pia. Ulimwengu watakiwa jua Tz hakuna demokrasia.
 
taarifa zinazoenezwa kwa sasa ni kutocover tukio ili na kama likitangazwa uchakachuaji utakuwa mkubwa snaa...wanaogopa machafuko kuenea kote..
 
What! Hebu tujuzeni yaliyo ya kweli, kuna nini? Na kilichopelekea kushindikana kutoka kwa Lema ni kitu gani? Eti maamuzi ni kukesha uwanjani mpaka lini?

Hili lina maandalizi? Kama vipi tupeni taarifa kamili maana mambo haya huanza kimzaha mzaha, isije ikawa Libya au Syria imehamia hapa. Uzuri niko tayari kukabiliana na hiyo hali ila sikutegemea kama ingelikuwa mapema hivi.

Mtu alie-serious atujuze kilicho kweli kuna nini Arusha mpaka sasa?
 
hivi chanel 10 ishanunuliwa na mafisadi? ilikua mbele sana miaka ya karibuni.
 
Arusha na wanaarusha mtegoni. Hawa sisiem wanataka kufanya machafuko kwa madhumuni ya kuwaharibia chadema!
 
Mungu mkubwa yupo na sisi wanachadema wote,wao CCM wanapesa na polisi,sisi Chadema tunamungu anayetulinda! Viva Chadema.
 
where is freedom of press in tz? BBC do the job in Arusha. I know u wont let me down
 
Arusha na wanaarusha mtegoni. Hawa sisiem wanataka kufanya machafuko kwa madhumuni ya kuwaharibia chadema!

thubutu yake............chadema waharibikiwe arusha?......mkuu unapaka rangi upepo au vipi?
 
What!hebu tujuzeni yaliyo ya kweli,kuna nini?na kilichopelekwa kushindikana kutoka kwa Lema ni kitu gani?eti maamuzi ni kukesha uwanjani mpaka lini?hili lina maandalizi?kama vipi tupeni taarifa kamili maana mambo haya huanza kimzaha mzaha,isije ikawa libya au Syria imehamia hapa.uzuri niko tayari kukabiliana na hiyo hali ila sikutegemea kama ingelikuwa mapema hivi.
Mtu alie-serious atujuze kilicho kweli kuna nini Arusha mpaka sasa?
Mapema au tumechelewa kufikia hatua hii.
 
Me nadhani iongezeke hoja ya msingi katika mgomo huo..! TUMECHOKA NA HALI MBAYA YA MAISHA, KUPANDA KWA BEI YA VITU, PESA KUSHUKA THAMANI., SUKARI, ETC......

HIZO ZIWE HOJA ZA KUUNGANISHA WATU NA TZ NZIMA..LAKINI KUNG'ANG'ANIA HOJA YA LEMA PEKEE..HAKIKA DUNIA ITATUSHANGAA! GUYS MLIOPO UWANJANI, ONGEZENI HIZO AJENDA NA NYINGINEZO ZITAKAZOWAUNGANISHA WATANZANIA KWA PAMOJA NA SIYO HISIA ZA LEMA PEKEE..!
 
kuna kikao kinaendelea huko dar juu ya hali ya arusha ..yawezekana lema akatolea dakika chache zijazo lakini kama hawatakubaliana kwa hilo basi itabidi wajiandae kwa maafa makubwa
Sidhani kama atatolewa lakini hata akitolewa kesho lazima afike NMC na mkutano lazima utakuwepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom