CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

Hii 'SINGLE' mpya ya cdm imekaaje? Walikuwa na ajenda nzuri kutetea haki na watanzania walikuwa nyuma yao, lakini hili la Mh. Lema kujipeleka jela kisha watu wagome kuomba atolewe??!!
 
Enzi za Mkapa hakuna mtu angefanya huo ujinga, atakaa ndani na atatoka kwa kufuata sheria na taratibu, mahakama sio shangazi wa cdm wala Lema. Sheria na taratibu ziliwekwa ili zifatwe...hatuwezi kuendesha nchi ktk misingi hiyo...
Ni wakati huo aisee!
Sio sasa!
Sasa hivi ukimwaga mboga, wanamwaga ugali!
 
Mkesha wa ukombozi. Nashauri vyombo vya habari virushe live yanayojiri A. Town now ili Watanzania wote waelewe
Vyombo gani vya habari?
Utaona ikifika muda wa taarifa ya habari TBC1 , wataanza vizuri kueleza, lakini scratch zitaanza na wataondoa kabisa habari hiyo na kuipotezea!
 
Hii 'SINGLE' mpya ya cdm imekaaje? Walikuwa na ajenda nzuri kutetea haki na watanzania walikuwa nyuma yao, lakini hili la Mh. Lema kujipeleka jela kisha watu wagome kuomba atolewe??!!

nasikitika una kicha kigumu kuelewa hadi basi tu...
 
Enzi za Mkapa hakuna mtu angefanya huo ujinga, atakaa ndani na atatoka kwa kufuata sheria na taratibu, mahakama sio shangazi wa cdm wala Lema. Sheria na taratibu ziliwekwa ili zifatwe...hatuwezi kuendesha nchi ktk misingi hiyo...
Unawashwa masaburi kamtafute Nepi aku-Cameron haraka.
 
Huu wimbo wa people's power una message ya nguvu kwa wasio viziwi.
 
Najua jeshi la polisi limejipanga kwa chochote leo ndio kwa wale wote watakaovunja sheria za nchi ndio watajua nidhamu ya jeshi la polisi.. RC Zuberi wewe ni mtu muhimu
 
Angalia na ugali unaoumwaga ni wa nani #PakaJimmy
Kukaa uwanjani sio kufanya Lema atoke, kufata taratibu ndio kutafanya Lema atoke, kuna shughuli nyingi za kufanywa na hao watu, kwanini wakae uwanjani kwa sababu ya kitoto kama hiyo!? Raisi Dk.Slaa ndo amekuwa wa hivi? Kwann watu wasiende kufanya shughuli zao kesho akitoka au siku nyingine watakusanyika na atawahutubia!? Kumbuka wat happened Arusha recently, vipigo vilitembea na hakuna kokote walipoenda, dola ni dola tu kaka...
 
Mpuuzi mwenyewe,,,ktk kuikomboa tanzania tutamkomboa na mamako pamoja na wewe kilaza
 
Ivi dr wenu wa biblia enzi zake za upadre alipona kweli kucamerooniwa maana matamshiyake ya watu walocamerooniwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom