CHADEMA vs Mitandao ya Jamii

Sabina78

Member
May 20, 2012
24
6
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu Posts na Comments ninazokutana nazo kwenye mitandao ya jamii, zinahusiana na siasa za Tanzania. Mitandao hiyo ni kama hii Jf, twitter, facebook, blogs nk; wengi wanaotoa comments inaonekana kuwa kama si washabiki basi ni wanachama wa CHADEMA. Hii dalili nzuri kwa chama hiki pendwa kwani watumiaji wengi wa hii mitandao ni wasomi na/au vijana ambao wanao uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko.

Ukweli huu unadhihirika pale anapokuwa anatoa Topic/Thread mwanachama au mshabiki wa CCM; hiyo topic ikiwa imelalia upande wa CCM, wengi wanaochangia wanam-oppose vikali sana. Sasa ambacho najiuliza ni kuwa hizi ni dalili gani kwa Chadema? Kuna mchango gani mitandao hii ilionayo katika kukua kwa Chama cha siasa? Wasomi wengi (ambao ndo wanaitumia sana mitandao hii), wameichoka CCM? Kifo cha ccm? Au humu wengi ni wahuni, kama wanavyojitetea ccm?
Nawasilisha!
 
Wanaotoa michango katika mitandao ya kijamii ni wanachamama wa vyama vyote vya siasa isipokuwa hata wale wa chama tawala (CCM) wamekichoka chama chao hivyo nao wanatoa comments za kukiponda chama chao, take it from me!
 
mimi siyo muhuni, hii ni sehemu ya kueleza kilicho rohoni ndiyo maana tunaficha majina halisi. wenye sisiemu wenyewe nyuma y pazia wameichoka sana!
 
Watanzanio wengi wamechoka na CCM hivyo wanatafuta mbadala, na mpinzani pekee wa uhakika kwa sasa ni CHADEMA, ndio maana kila anayeikosoa CCM hata kama ni mwanaCcm atahusishwa na CHADEMA na ataipenda tu.
 
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu Posts na Comments ninazokutana nazo kwenye mitandao ya jamii, zinahusiana na siasa za Tanzania. Mitandao hiyo ni kama hii Jf, twitter, facebook, blogs nk; wengi wanaotoa comments inaonekana kuwa kama si washabiki basi ni wanachama wa CHADEMA. Hii dalili nzuri kwa chama hiki pendwa kwani watumiaji wengi wa hii mitandao ni wasomi na/au vijana ambao wanao uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko. Ukweli huu unadhihirika pale anapokuwa anatoa Topic/Thread mwanachama au mshabiki wa CCM; hiyo topic ikiwa imelalia upande wa CCM, wengi wanaochangia wanam-oppose vikali sana. Sasa ambacho najiuliza ni kuwa hizi ni dalili gani kwa Chadema? Kuna mchango gani mitandao hii ilionayo katika kukua kwa Chama cha siasa? Wasomi wengi (ambao ndo wanaitumia sana mitandao hii), wameichoka CCM? Kifo cha ccm? Au humu wengi ni wahuni, kama wanavyojitetea ccm?
Nawasilisha!

Ukwelini kwamba CCM imepoteza umaarufu sana, kwenye mitandao ya kijamii tunawashinda kwa hoja na mtaani tunawapa kichapo cha mmbwa mwizi! Hawana pa kutokea! Nape na mwingulu huwa tunawakimbiza kwenye mitandaoni. Vijana wa chadema tumeenda mbali zaidi kwani tumeshawezesha kukutanisha na kuunda vikundi vya vijana tuliokutana mtandaoni na tunafanya outreach za kichama mtaani na maeneo mbalimbali kuwafikia wananchi! From mtandaoni to mtaani! Arusha tulishaasisi Bavicha Mtandaoni na tunaendelea vizuri sana!
 
watu wamechoka utumwa ndani ya nchi yao,wanataka uhuru kwa mara ya 2 toka kwa mkoloni ccm
 
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu Posts na Comments ninazokutana nazo kwenye mitandao ya jamii, zinahusiana na siasa za Tanzania. Mitandao hiyo ni kama hii Jf, twitter, facebook, blogs nk; wengi wanaotoa comments inaonekana kuwa kama si washabiki basi ni wanachama wa CHADEMA. Hii dalili nzuri kwa chama hiki pendwa kwani watumiaji wengi wa hii mitandao ni wasomi na/au vijana ambao wanao uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko. Ukweli huu unadhihirika pale anapokuwa anatoa Topic/Thread mwanachama au mshabiki wa CCM; hiyo topic ikiwa imelalia upande wa CCM, wengi wanaochangia wanam-oppose vikali sana. Sasa ambacho najiuliza ni kuwa hizi ni dalili gani kwa Chadema? Kuna mchango gani mitandao hii ilionayo katika kukua kwa Chama cha siasa? Wasomi wengi (ambao ndo wanaitumia sana mitandao hii), wameichoka CCM? Kifo cha ccm? Au humu wengi ni wahuni, kama wanavyojitetea ccm?
Nawasilisha!

THREAD YA KIDAKU ZAIDI HUELEWEKI UNASIFIA AU UNAPONDA UKO KAMA KINYONGA MARA WASOMI MARA WAHUNI,NAHISI WEWE NI GAMBA LILILOKO NJIA PANDA AMUA MOJA KAMA GAMBA KAA NA GAMBA LAKO KAMA UNATAKA GWANDA VaA TUIKOMBOE NCHI YETU PAMOJA PERIOD
 
we hata huelewi ndugu yangu. Kuna tofauti kubwa kati kusoma sentesi nzima badala kuchukua neno moja katika sentesi nzima. Kama we kweli ni muelewa, naomba urudie kusoma hizo sentesi ulizowekea RED, then uniambie umeelewa nini kabla cjakupa KUBWA!
 
Sabina acha ubishi. umetuita sisi wahuni.
 
Sabina acha ubishi. umetuita sisi wahuni.

ngoja nikueleweshe ndugu yangu! Nilichokiuliza ni swali, na swali lenyewe liko Very Direct; kwamba, WAHUNI KAMA WANAVYODAI CCM? Hapo vipi? Bado!!!!????
Na kwa taarifa yako hapa nilipo, bila unafiki wala uoga, nimevaa Gwanda; hata ofisini naitwa Chadema1. Karibu!!!
 
ccm YETU tunaipenda sana, sema sisi sio watu wa kushoboka ovyo, nyie vaeni magwanda tu, pigeni kwata lkn urasi kwenu ndoto.
 
Rejao na Ritz hawajapita hapa bado?

Magamba mbona wako wengi humu, msimsahau pia Chama wa chama cha Magamba!

Ukweli unabaki kuwa Watanzania wenye elimu,busara na ufahamu wa maana ya kutawala na kuongoza nchi wamechoshwa na utawala DHALIMU wa CCM kwa miaka 50 isiyokuwa na matumaini wala maisha bora.

CCM wameamua kuwa MAFISADI na washirika wa mafisadi kwa kuwageuza Watanzania kuwa Wadanganyika na wasiojua chochote kuhusu Sheria na Haki katika nchi yao.

CCM wameamua kuwekeza mtaji wa UDHALIMU wao kwa kutumia upole wao na uelewa mdogo wa Haki zao kulingana na Katiba na Sheria za nchi hii. Na ndiyo maana CCM kila mahali wamekuwa wakiwalaghai watu kwa propaganda za UMOJA,UPENDO na MSHIKAMANO mambo ambayo hakika ni ya kufikirika tu!

Please mimi ni Great thinker,ndio maana naweza kuja humu JF.wanaokuja humu ni watu wenye akili zao
na wenye uchungu na hii nchi,japo wapo wachache wanaingia humu kwa maslahi yao,kama Nape na
wenzie.
 
Back
Top Bottom