CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

Kaka kwani ni kosa kumsifia mtu, mbona wewe unawasifia chadema sisemi unajitukana, kumbuka uhuru wa maoni. Usiwe sawa na mshabiki wa yanga akiona unaisifia simba kwa kucheza vizuri mashindano ya nje anakuona kama unajitukana kwa sababu na wewe ni yanga

Ahaa kumbe unaongea kisa ni uhuru wa maoni? No comment on that.
Ile edit heading basi maani nana zaidi haieleweki Chilisosi aka kiungo cha chips.
 
Nakubaliana na wewe asimilia 100 maana wale wote wanaozunguka naye wanapata allowance ambazo ni jasho letu, anagharamikia usafiri na kuwapa watu posho ili wahudhurie hivyo mikutano yake ni ajira za watu wengine, anagawa khanga,kofia,fulana

chadema ni mwananchi mwenyewe anajitegema hadi uwanjani,hakuna cha allowance wala nini,

wewe nenda kachukue mshahara wako wa wiki
 
Asante kwa kunisoma kaka,
Mara nyingi watu wenye potential huwa hawakubaliki kwao, hata YESU wayahudi walimkataa
Yep, unaona mbali sana chilisosi. Wa2 wengi ni myopic, wanaona hapo wanapokanyaga tu au pengine ni wavivu wa kufikiria sana. Nakupongeza vile umeweza kuona mbali sana. Ni kweli mtume siku zote hakubaliki
Nyumbani.
 
kumfananisha NAPE na CHADEMA ni sawa na kufananisha kiwango cha JOHN BOKO(nape) na LIONE MESSI(chadema)
 
nape hana jipya lolote analofanya zaidi ya kufanya uzululaji uku akiongea na wanaCCM walioko huko,
Nape hakisaidii chama chake kwa lolote, zaidi anapofika huko anakutana na wanachama wenzake, wala hakuna lolote jipya analofanya juu ya kuongeza idadi ya wanachama wapya zaid anabeza tu wanachama wao waliowahama.
hivyo si tija wala busara kumfananisha Nape na aya majembe yaliyoko chadema
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya chadema kwa karibu sana na kugundua kuwa hujaa watu wengi sana kwa sababu ndio wanaonekana kimbilio pekee la watanganyika , lakini kwa mbali namuona huyu Nnape anakuja kwa kasi sana na anafanya kazi bila kulala, yaani kama Dr SlAA ataenda mtwara basi nape yuko bomba mbili songea.

Sikatai CCM wamebaki na watu wachache sana wanaoweza kuwashawishi wananchi, lakini katika hao wachache namuona huyu nape ni sawa na makamanda kumi wa chadema, nina maana nape mmoja ni sawa na MBOWE, SLAA, ZITTO, LISU, LEMA, MNYIKA, MSIGWA, SUGU, MDEE NA YULE DOMO KUBWA SHIBUDA

Mie sina chama ila nawapenda chadema lakini tuwe tunaangalia kwa wapinzani wetu nani tishio,
Wakati Chadema wanazunguka tanzania nzima full squad, NAPE ANAZUNGUKA PEKE YAKE NA MIKUTANO YAKE INAJAA KAMA YA FULL SQUAD YA CHADEMA.

Mie binafsi namuona nape kama marehemu HORACE KOLIMBA, kijana ni mkali kisiasa na ndio hazina kubwa ya CCM. anayepinga na aseme

Giza (CCM) na nuru (chadema) vina ushirika gani? TOENI GIZA KATIKATI YA NURU! YOU CANT COMPARE ****** WITH FULL MINDED! Jioni njema wanaJF.
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya chadema kwa karibu sana na kugundua kuwa hujaa watu wengi sana kwa sababu ndio wanaonekana kimbilio pekee la watanganyika , lakini kwa mbali namuona huyu Nnape anakuja kwa kasi sana na anafanya kazi bila kulala, yaani kama Dr SlAA ataenda mtwara basi nape yuko bomba mbili songea.

Sikatai CCM wamebaki na watu wachache sana wanaoweza kuwashawishi wananchi, lakini katika hao wachache namuona huyu nape ni sawa na makamanda kumi wa chadema, nina maana nape mmoja ni sawa na MBOWE, SLAA, ZITTO, LISU, LEMA, MNYIKA, MSIGWA, SUGU, MDEE NA YULE DOMO KUBWA SHIBUDA

Mie sina chama ila nawapenda chadema lakini tuwe tunaangalia kwa wapinzani wetu nani tishio,
Wakati Chadema wanazunguka tanzania nzima full squad, NAPE ANAZUNGUKA PEKE YAKE NA MIKUTANO YAKE INAJAA KAMA YA FULL SQUAD YA CHADEMA.

Mie binafsi namuona nape kama marehemu HORACE KOLIMBA, kijana ni mkali kisiasa na ndio hazina kubwa ya CCM. anayepinga na aseme

Umejiuliza swali na kujijibu mwenyewe,hapo tu inaonyesha ulivyo mweupe kwa kumfananisha Nape na Chadema.Rudi barabarani huko ulikoelekea siko
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya chadema kwa karibu sana na kugundua kuwa hujaa watu wengi sana kwa sababu ndio wanaonekana kimbilio pekee la watanganyika , lakini kwa mbali namuona huyu Nnape anakuja kwa kasi sana na anafanya kazi bila kulala, yaani kama Dr SlAA ataenda mtwara basi nape yuko bomba mbili songea.

Sikatai CCM wamebaki na watu wachache sana wanaoweza kuwashawishi wananchi, lakini katika hao wachache namuona huyu nape ni sawa na makamanda kumi wa chadema, nina maana nape mmoja ni sawa na MBOWE, SLAA, ZITTO, LISU, LEMA, MNYIKA, MSIGWA, SUGU, MDEE NA YULE DOMO KUBWA SHIBUDA

Mie sina chama ila nawapenda chadema lakini tuwe tunaangalia kwa wapinzani wetu nani tishio,
Wakati Chadema wanazunguka tanzania nzima full squad, NAPE ANAZUNGUKA PEKE YAKE NA MIKUTANO YAKE INAJAA KAMA YA FULL SQUAD YA CHADEMA.

Mie binafsi namuona nape kama marehemu HORACE KOLIMBA, kijana ni mkali kisiasa na ndio hazina kubwa ya CCM. anayepinga na aseme

Mtoa mada unakwama.
Cdm inafungua raia kutoka utumwa wa fikra,nape anawalisha raia kiapo cha kuwa wajinga milele.
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya chadema kwa karibu sana na kugundua kuwa hujaa watu wengi sana kwa sababu ndio wanaonekana kimbilio pekee la watanganyika , lakini kwa mbali namuona huyu Nnape anakuja kwa kasi sana na anafanya kazi bila kulala, yaani kama Dr SlAA ataenda mtwara basi nape yuko bomba mbili songea.

Sikatai CCM wamebaki na watu wachache sana wanaoweza kuwashawishi wananchi, lakini katika hao wachache namuona huyu nape ni sawa na makamanda kumi wa chadema, nina maana nape mmoja ni sawa na MBOWE, SLAA, ZITTO, LISU, LEMA, MNYIKA, MSIGWA, SUGU, MDEE NA YULE DOMO KUBWA SHIBUDA

Mie sina chama ila nawapenda chadema lakini tuwe tunaangalia kwa wapinzani wetu nani tishio,
Wakati Chadema wanazunguka tanzania nzima full squad, NAPE ANAZUNGUKA PEKE YAKE NA MIKUTANO YAKE INAJAA KAMA YA FULL SQUAD YA CHADEMA.

Mie binafsi namuona nape kama marehemu HORACE KOLIMBA, kijana ni mkali kisiasa na ndio hazina kubwa ya CCM. anayepinga na aseme

Reading your post between the lines inanionyesha kwamba capacity yako ya kuchambua na kunyumbulisha mambo na elimu yako ya mizania ni duni sana ndio maana unalinganisha CDM; TAASISI na Nape; INDIVIDUAL, jambo ambalo si sahihi kabisa kwa hiyo linakuumbua unaonekana wazi kwamba wewe ni CCM tofauti na kauli yako kwamba huna chama na kwa hiyo inabainisha wazi kwamba ajenda yako ni kuidhalilisha CDM; kitu ambacho hutaweza maisha yako. kauli zinaumba kijana!! kwa hiyo kabla ya kupost chochote hapa kindly engage your gray matter first.
 
Tuwe na jumuiya kwenye Nchi ya watu?
ChademaZenji.jpg

Nape kama anauwezo wa kufwata nyayo aje arusha..ck akitia mguu arusha basi na mm natakubali kwel ana uwezo
 
Asante kwa kunisoma kaka,
Mara nyingi watu wenye potential huwa hawakubaliki kwao, hata YESU wayahudi walimkataa
Naomba uwe na busara usimfananishe Nape na YESU, the guy does not have that sifa.

Nape namheshimu kama kiongozi, lkn sifa zake sio kubwa kiasi hicho. Huwezi kumlinganisha na Dr. Slaa. hata kiumri, kielimu, busara, hekima nk hawezi linganishwa na Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom