CHADEMA UK Wamchangia Mjane Wa DAUDI Mwangosi Aliyeuawa Nyololo shs 1,000,000

Sawa kaka samahani tumekukose lakini huu ndio uwezo wetu sisi watoto wa wakulima. Tunaomba nyie wenzetu mliojaliwa kuzaliwa huko masaki basi mtusaidie kuchangia mabilioni pliiiz

Nyie watoto wa mafisadi nyie na msijifanye ni watoto wa mkulima , na mnapenda sana sifa nyie. Yani mpo ughaibuni mnatoa dola mia nane halafu eti mnajisfia mitandaoni eti tumetoa. Thubutu. Rudini nyumbani. Hio milioni moja sio kitu kwa sasa hivi kwa hapaTanzania kwa hiyo bora usimsaidie mtu kabisa ama ukisaidia ukae kimya Mungu akulipe ila kama mnataka misifa ya kijinga basi toeni nyingi na sio vichekesho kama hivi
 
Mchakamcha huoo wa Chadema UK unanifurahisha... hakuna kulala! well done guyz go on...
 
chadema uk wamchangia mjane wa mwangosi


views


m4c+frm+blog.jpg


tawi la uk



chadema tawi la uk lachangia harambee ya kumsaidia mjane wa mwangosi
tawi la chadema uk jana walijiunga na wanaharakati wengine duniani kote kumchangia mjane wa mwandishi aliyeuawa daudi mwangosi,(r.i.p)
mchango huo amekabidhiwa mwenyekiti wa mjengwa blog kiasi cha shs 1,012,500 cash


wako katika ujenzi demokrasia ya kweli na uhuru wa ukweli


chris lukosi


mwenyekiti - tawi la uk
source mjengwa blog

wale waliokufa arusha, igunga na morogoro je!!!
 
Hongereni sana CDM UK, lakini hii siasa tu, kama wana moyo huo kwa dhati mbona wasianzishe mfuko wa kuwasaidia wajane wote au angalau wengi?.
 
wanatia aibu kweli hawa ..dola mia nane ndio wamechanga watu wazima halafu wanakuja kujitangaza huku kwenye mitandao ya jamii. Mimi nlijua wamechanga dola milioni moja bwana.

Kuwa nje ya nchi hakuna maana ni matajiri a.k.a mafisadi. Wengine inawezekana ni wanafunzi, housewives, n.k.

Tunawashukuru makamanda.
 
Mchakamcha huoo wa Chadema UK unanifurahisha... hakuna kulala! well done guyz go on...
asante mkuu, tunataka mpaka mwisho wa mwaka huu tuwe tumemaliza UK halafu tunahamia italy, germany and holland
 
Back
Top Bottom