Chadema uchaguzi wowote fanyeni hivi

SAfi sana! wazo zuri hilo, naliunga mkono kwa asilimia zote! Big up 4ua creativity! una lengo zuri nanchi yako. Na hii ikifanikiwa ni changamoto kubwa kwa ccem.
 
SAfi sana! wazo zuri hilo, naliunga mkono kwa asilimia zote! Big up 4ua creativity! una lengo zuri nanchi yako. Na hii ikifanikiwa ni changamoto kubwa kwa ccem.

Chadema huwa wanapita hapa . Na wasikivu sana naamini wanawezakukaa chini wakaliangalia hilo .
 
Wengi wetu tuta kubaliana kwamba Chadema wamejitahidi mno kama Chama kuonyesha nini Mtanania anahitaji . Pia Chadema wamekuwa wabunifu muda wote na CCM wanafuata . Zaidi ya yote Chadema wana hubiri Tanzania kwanza , mtanzania awe na maisha yenye unafuu na posho baadaye . Kwa kuwa sasa wanalia na Utanzania maisha ya Watanzania nina washauri wazidi kuwaumiza CCM kwa hili . Ondoeni bendera zenu kwenye kampeni zozote .Ok zaweza kuwepo lakini mna alama mbili sasa . Mna Kombati na bendera . Lakini pia kuna ambao si wana Chadema kwa uanachama lakini waliwapigia kura hawa ni watanzania wapeni nao nafasi .Nashauri kama ilivyo kuwa uchaguzi uliopita , nilitembea sana Dar, Arusha na maeneo mengine kwa kweli sikuona posters za Chadema kwa uwingi kama za CCM lakini pamoja hilo kuonekana hata EU na wapenda haki wengine wali hoji ,ila wapiga kura watanzania na wana Chadema wameonyesha kwamba wao hawangalii posters ila message na mtu mwenye nia safi.Kwa mfano Dar Kawe na Ubungo watu wakaamua .Now badala ya kuhangaika na bendera za Chama kwenye chaguzi zijazo hakikisheni mnatumia bendera za Taifa letu .Ndilo tunalo pigania na si maslahi ya Chama . Wapeni watanzania nafasi ya kuiona na hata kuishika bendera ya Taifa lao maana najua wao wengi mno wanaiona kwambali na wengi hata kuishika na baadhi hata kuiona bado .Tanzania kwanza Chadema onyesheni mfano .Tuwaache wagombea wavae uniform za Chama na kama kuna mwingine atapenda sawa lakini onyesheni Utaifa kwa kusambaza bendera za Taifa kila kona .Naomba kusikia wewe unasemaje .
Kumbe Umeshitukia magwanda hayana mvuto! Hata mimi nimekua nashangaa utavaaje Gwanda wakati hata mgambo hujaenda!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom