mzee wa miba
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 759
- 125
Ukweli uliobayana ni kwamba baada ya uchaguzi mkuu 2010 serikali yote ya CCM bado wanasherehekea ushindi kwani mpaka dakika hii hiyo nguvu mpya,kasi mpya na ari mpya ilikuwa ni misemo na tamathali za semi kwa ajili ya kuwarubuni wananchi ili wakipe kura chama hiki. Siyo ubishi baada ya miaka 50 hamsini ya uhuru TANU na CCM walithubutu,wakajaribu na tena wameshindwa vibaya sana na haijawahi kutokea chama kitawale miaka 50 na bado serikali inaendelea kukopa ili ihudumie wananchi wake.
CDM TUAMUKE TWENDENI VIJIJINI VIJANA KWA WAZEE NA WABUNGE WA CHADEMA WOTE,NA MAKADA WOTE WALE TULIOFANIKIWA KUSOMA AGRICULTURE/ELIMU YA KUJITEGEMEA MASHULENI NA VYUONI TUFUNGUENI MASHAMBA YA MFANO KWA KUWEKA SAMADI,NA KUOTESHA KWA MISITARI. MVUA ZINAZONYESHA NI BARAKA HII NA SI MAAFA TUZITUMIENI,TUHAMASISHANENI WENYEWE KWA WENYEWE CHAMA NA SERIKALI NA WABUNGE WAO WANATAKA POSHO ZAIDI SISI TWENDENI VIJIJINI HAKUNA MUDA WA KUPOTEZA TUSHIKAMANE TUSISINZIE KAMA WAO.
CCM WAMESHINDWA VIBAYA KABLA YA 2015