CHADEMA tv

CDM bana wana Website wanasema wana TV hata unashindwa kuelewa, cha ajabu Pro-CDM wote wanakubaliana eti wana TV wakati hawana

Hapo kwenye red inategemea kama una define vipi TV. Maana kwa technologia ya sasa unaweza kuwa na Internet TV or online TV. Teknologia ya sasa inaruhusu kuangalia TV mahali popote pale.
 
Najua kama online TV internet tena nyingi ni za bure, nataka kujua tu CDM wana free online TV?
 
Tunaondoka kwenye analogy, tunaingia kwenye digital, masafa hayana faida tena kuanzia 2013 jan..
 
Hapo kwenye red inategemea kama una define vipi TV. Maana kwa technologia ya sasa unaweza kuwa na Internet TV or online TV. Teknologia ya sasa inaruhusu kuangalia TV mahali popote pale.

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Chimala Mbeya.
 
Back
Top Bottom