chadema tuweni macho-kazi imeanza bungeni

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,065
1,535
kv

habari nilozipata hivi punde kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa jumamosi hii 22.1.2011 wabunge wa ccm wanakutana karimjee dar es salaam kuandaa mkakati wa kupambana na chama kubwa chadema bungeni. chanzo hiki kinafafanua kuwa aenda kubwa ni kujenga hoja itayogeuzwa sheria na kuizuia chadema kufurahia uongozi wa upinzani bungeni.
haya sasa vichwa vya ujasusi na sheria tuanze kazi
 
Siasa za visasi zinazofanywa au zitakazofanywa na CCM ndo zitakazopelekea machafuko siku za usoni.
 
kv

habari nilozipata hivi punde kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa jumamosi hii 22.1.2011 wabunge wa ccm wanakutana karimjee dar es salaam kuandaa mkakati wa kupambana na chama kubwa chadema bungeni. chanzo hiki kinafafanua kuwa aenda kubwa ni kujenga hoja itayogeuzwa sheria na kuizuia chadema kufurahia uongozi wa upinzani bungeni.
haya sasa vichwa vya ujasusi na sheria tuanze kazi

Hiyo inawezekana kwani Cafu washaolewa na ccm hata hivo bado CDM ina viti vingi ukizingatia Ccm hawapigi kura kuchagua kiongozi wa upinzani. Halafu hapo ndo pazuri kwani watakuwa wanaijenga CDM kwa uchaguzi wa 2015 bila wao kujua kwani wananchi cku hawadanganyiki.
 
labda wanaenda kumpa tano hamad rashid na westminster upinzani mdogo wake?
 
Back
Top Bottom