Chadema tuuzieni documentary za maandamano na mikutano yenu,,,,,,,tunazitaka

Mazee

Senior Member
Dec 6, 2007
128
24
tunataka kusikia viongozi wetu wanasema nini na wananchi wenzetu huku wanakopita kuwaelimisha basi andaeni documentaries halafu mtuuzie sisi tuatanunua kwa mfano hii ya arusha hadi leo hatujaipata
haya matukio ya kanda ya ziwa tunataka kuyaona pia.....
Naamini kiasi kidogo cha pesa kitapatikana lakini kitasaidia for sure
viva mshikamamo....
 
Back
Top Bottom