Chadema tutawaelewaje 2015

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Wakiichukuwa hii mada ya mifuko ya hifadhi ya jamii iwe ni sera ya kupatia kura ili hali mpaka sasa hivi wapo kimyaaa. Sijui hawa wabunge na viongozi wao wamelewa posho na kuongwa. Au mwenyekiti wao ana Deni NSSF, kafungwa zipu ya mdomo.

Tutawaelewa vipi?
 
Mbaya zaidi pindi ukistafu, uzichukui pesa kwa mkupua. Unakuwa unasubiri cheque kila baada ya miezi 6. Ukifa baada ya miaka 2 baada ya kustafu, pesa zimeenda na maji. Amna sheria ya mirathi ya pension
 
Back
Top Bottom