Chadema tupeni mikakati ya utawala 2015

MKALIMOTTO

Senior Member
Apr 7, 2012
136
9
Makamanda ninadhani sasa ni muda muafaka kwa majemedali wetu wa CDM kuanza kutuambia ni mikakati gani wameiweka juu ya sera ya utawala wa nchi hasa katika mambo ya ulinzi na usalama, sera ya nje ya nchi, uboreshaji wa maslahi ya watumishi, rasilimali za nchi dhidi ya uwekezaji dhulumifu. Ikumbukwe kuwa CDM yetu ndiyo mkombozi wa mtanzania maskini na kwamba tayari imefanikiwa kuwaamsha wananchi kutambua umuhimu wa kudai haki. Ni jambo la msingi sasa watueleze juu ya sera za utawala watakazozitumia ili kutuhakikishia umoja na utulivu wa nchi. Ninasema hivi kwasababu tangu awali Dr. Slaa ameonekana kuingia katika mgogoro na vyombo vya ulinzi na usala kama polisi, jwtz na usalama wa taifa kwa kuvituhumu kuilinda ccm. Je, akiwa Rais atavivunja na kuunda vya kwake?, atajenga urafiki ili vilinde maslahi yake?. Ikumbukwe ndugu zangu dola ndiyo nguvu ya nchi sehemu yoyote ile. Ni vyema basi viongozi wa CDM walione hilo ili wasije ingia kwa pupa, wakadhani kuivuruga dola itawasaidia la hasha. Karibuni kwa michango itakayojenga chama na utawala bora wa CDM 2015
 
hawa watu kwa sababu ccm na ye mwenyewe wamekuwa wakiwatumia waislamu kwa manufaa ya ccm sasa anogopa siri kuwekwa hadharani tumeone waislamu wengi viongozi mzee mwinyi aliwadhibiti akina ponda mzee makamba aliwadhibiti pale magomeni sasa kikwete kwa nini tusikuone wewe ni swahiba na unawafurahia kwa sababu wanafanya kazi abayo ndani ya moyo wako unachekelea lakini kumnuka vita ya kidini haitamuacha salma ridhiwani wala ndugu yako yeyote acha udini ongoza nchi nyerere aliyuonya watanzania kukuchagua sasa tunaona faida zake
 
Cement itakuwa sh. elfu 5, elimu bure mpaka form six, huduma za afya bure, hospitali zitakuwa na vifaa vya kisasa, mishahara ya watumishi itaboreshwa, kodi ya bidhaa za akinamama zitafutwa, kodi za kuingiza magari zitapunguzwa na barabara kuu zote zitawekewa lami. Kwa kipindi cha miaka mitano umasikini nchini utaondoka...
 
ubongo umechanganyika na mchuzi wa dagaa.
 
Ninawaomba wachangiaji, huu uzi ni mhimu sana kwa uhai wa cdm. Tunazungumzia mambo ya usalama wa nchi, zipi ni sera za cdm? Huwezi kuongoza nchi with collapsed security body. Cdm inawadis sana wanausalama, polisi jwtz n.k. So itafanya kazi na nani?
 
Makamanda ninadhani sasa ni muda muafaka kwa majemedali wetu wa CDM kuanza kutuambia ni mikakati gani wameiweka juu ya sera ya utawala wa nchi hasa katika mambo ya ulinzi na usalama, sera ya nje ya nchi, uboreshaji wa maslahi ya watumishi, rasilimali za nchi dhidi ya uwekezaji dhulumifu. Ikumbukwe kuwa CDM yetu ndiyo mkombozi wa mtanzania maskini na kwamba tayari imefanikiwa kuwaamsha wananchi kutambua umuhimu wa kudai haki. Ni jambo la msingi sasa watueleze juu ya sera za utawala watakazozitumia ili kutuhakikishia umoja na utulivu wa nchi. Ninasema hivi kwasababu tangu awali Dr. Slaa ameonekana kuingia katika mgogoro na vyombo vya ulinzi na usala kama polisi, jwtz na usalama wa taifa kwa kuvituhumu kuilinda ccm. Je, akiwa Rais atavivunja na kuunda vya kwake?, atajenga urafiki ili vilinde maslahi yake?. Ikumbukwe ndugu zangu dola ndiyo nguvu ya nchi sehemu yoyote ile. Ni vyema basi viongozi wa CDM walione hilo ili wasije ingia kwa pupa, wakadhani kuivuruga dola itawasaidia la hasha. Karibuni kwa michango itakayojenga chama na utawala bora wa CDM 2015

Ni wazo zuri sana, bila shaka ukisoma ilani ya chadema imeeleza wazi juu ya hayo labda ya kujazia kidogo tu kutokana na tuendako,

Lakini huu ndio wakati sahihi wakupanga mikakati ya kushika dola kwa chama.
 
Makamanda ninadhani sasa ni muda muafaka kwa majemedali wetu wa CDM kuanza kutuambia ni mikakati gani wameiweka juu ya sera ya utawala wa nchi hasa katika mambo ya ulinzi na usalama, sera ya nje ya nchi, uboreshaji wa maslahi ya watumishi, rasilimali za nchi dhidi ya uwekezaji dhulumifu. Ikumbukwe kuwa CDM yetu ndiyo mkombozi wa mtanzania maskini na kwamba tayari imefanikiwa kuwaamsha wananchi kutambua umuhimu wa kudai haki. Ni jambo la msingi sasa watueleze juu ya sera za utawala watakazozitumia ili kutuhakikishia umoja na utulivu wa nchi. Ninasema hivi kwasababu tangu awali Dr. Slaa ameonekana kuingia katika mgogoro na vyombo vya ulinzi na usala kama polisi, jwtz na usalama wa taifa kwa kuvituhumu kuilinda ccm. Je, akiwa Rais atavivunja na kuunda vya kwake?, atajenga urafiki ili vilinde maslahi yake?. Ikumbukwe ndugu zangu dola ndiyo nguvu ya nchi sehemu yoyote ile. Ni vyema basi viongozi wa CDM walione hilo ili wasije ingia kwa pupa, wakadhani kuivuruga dola itawasaidia la hasha. Karibuni kwa michango itakayojenga chama na utawala bora wa CDM 2015

Ungewauliza kwanza mkakati wa kudhibiti kuchakachuliwa. Bila hilo hawatakaa waingie Ikulu.
 
Ninawaomba wachangiaji, huu uzi ni mhimu sana kwa uhai wa cdm. Tunazungumzia mambo ya usalama wa nchi, zipi ni sera za cdm? Huwezi kuongoza nchi with collapsed security body. Cdm inawadis sana wanausalama, polisi jwtz n.k. So itafanya kazi na nani?
Chadema ina Manifesto (Ilani za Uchaguzi). Nenda kwenye tovuti ukaisome. Halafu kukemea vyombo vya usalama/dola kwa sababu havitimizi wajibu wake au vinafanya kazi kwa upendeleo haina maana ya kuvichukia au kuvitenga. Kama CDM ikishika madaraka moja ya kazi zake itakuwa kuvifanyia mageuzi vyombo hivyo kama itakavyofanya katika sekta zingine. Ndiyo maana ya M4C (Movement for Change).
 
Kumbuka mikakati ya kutawala kamwe haiwezi kuwekwa wazi au hadharani.

kwenye electoral politics ambapo vyama vya siasa vinakua kama makampuni yanayoshindana kupata wateja wengi zaidi (kura)na kuuza bidhaa zao (sera,ahadi, mikakati,mipango, n.k) itakua ni ujinga kwa vyama kuficha mikakti yake kwa manufaa yha taifa eti ni siri...siri inaweza kufichwa ni ile ya namna ya kumshinda mwenzako katika ulingo wa siasa lakini siyo kuwaficha wananchi kwa kauli za juu juu tu za mageuzi bila kuingia ndani na kusema nini na vipi mtaboresha hiki na kile
 
cement itakuwa sh. Elfu 5, elimu bure mpaka form six, huduma za afya bure, hospitali zitakuwa na vifaa vya kisasa, mishahara ya watumishi itaboreshwa, kodi ya bidhaa za akinamama zitafutwa, kodi za kuingiza magari zitapunguzwa na barabara kuu zote zitawekewa lami. Kwa kipindi cha miaka mitano umasikini nchini utaondoka...

karagabaho
 
Asanteni sana wachangiaji kwa busara zenu za mawazo. Cdm wajue kuwa bila kulisuka vizuri swala la usala wa taifa ni ndoto kutawala. Vyombo vya dola popote ni roho na jeuri ya ustawi wa taifa. Huwezi tawala huku ukiwaudhi wenye nchi. Tuwashauri cdm kuacha kuiandama dola na pia wasijidanganye eti wakiingia madarakani wataipanga kwa matakwa yao, aiseee watahujumiwa mpaka basi yaani inshort watafanyiwa technical subotage ya kufa mtu. Kwa ujumla hawawezi shindana na dola aise. Wangekumbuka wangemuuliza bingu wa mutharika aliyejifanya kudissolve intelligence ageny ya malawi, nini kilimtokea hadi akaiunda upya, chezea majasusi wewe utaisoma!
 
Muda wa kutoa manifesto (Ilani) bado wewe. Saa hii ni kuomarisha chama na kuifuta thithimwewe kwenye akili za watz!!!!!
 
Back
Top Bottom