democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
wala sitaki kushawishiwa tena na mtu yeyote kuhusu swala la kuwaondolea mabali magamba,cdm hilo hata msiongee gambas are kwishney
lengo la chama cha siasa ni kupewa dhamana ya kuongoza dola. Chama ambacho hakijawahi kuaminiwa na wananchi kupewa dola wala hakina hata asilimia 20 ya wabunge, kikijiona kimeshakuwa imara ni alinacha ya kisiasa.
Kwa miaka 20 cdm wamekuwa wanahangaika kutafuta jinsi ya kutoka, lakini hawajafanikiwa. Wakifikisha umri wa miaka 23 watakuwa na test nyingine kama wameshaaminiwa.
Sasa watu kama hao wanapokudanganya kuwa wanahitaji miaka mitano kuondoa umasikini, ni kama wanapima akili yako. Ukikubali watakuona mjinga.
Kama umewapenda na umeamua kuwachagua sawa, lakini usidanganyike kuwa wataondoa umasikini kwa miaka mitano.
Kodi wanataka kufuta, na nyingine kupunguza, bidhaa za viwandani kama cement bei itapungua (cement sh. 5000!), barabara kuu zote zitawekewa rami, kila kaya itakuwa na maji safi na salama, shule bure mpaka form six, huduma za afya bure, hospitali zote zitapatiwa vifaa vya kisasa, wahitimu wote wa chuo kikuu watapatiwa ajira, na umasikini utaondoka. Hivi vyote kwa miaka mitano. kama sio kuonana wajinga ni nini?