CHADEMA tunataka maandamo kuhusu mgao wa umeme!

FJM

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
8,081
6,198
With or without ndiyooooo za maCCM na Spika/Naibu Spika wao CHADEMA tunataka maandamano nchi nzima, vinginevyo tutaamini na nchi hamna dhamira ya kweli ya kukomesha huu usanii wa kuuziwa giza! Sababu kuu za maandamano:
1. Ngeleja aachie ngazi mara moja maana hana nia, wala uwezo wa kutatua tatizo la mgao
2. Serikali itangazo umeme ni janga la 'kitaifa' hivyo kuchukuwa hatua zozote za kisheria katika kukabiliana na 'janga la kitaifa'
3. Mikataba ya IPTL, Songosongo, Symbion na wengineo iwekwe wazi
4. Ufanyike uchunguzi 'huru' kuhusu kwa nini bwawa la Mtera halijai maji na kama kweli maji yanaenda kwenye mashamba ya mpunga.

Tupeni tarehe ya na Square itakuwa wapi.
 
Back
Top Bottom