Chadema tunaomba ripoti ya utafiti ya ushindi wa arumeru

Indume

Member
Apr 11, 2011
81
36
Hongera CHADEMA kwa ushindi mnono wa Arumeru, Mwanza,Mbeya na sehemu zingine.
Sasa ni kipindi muhimu kwa CDM kufanya utafiti ili kujua mbinu zilizotumikazimefanikiwaje na wapi pa kuleta mabadiriko na kuendelea kutekeleza mbinuzilizo nzuri. Utafiti huu ni vema ukafanyika katika maeneo yote hata ambayoCHADEMA haikushinda na pale CHADEMA iliposhinda. Hii itasaidia kujua ni kitugani cha kufanya baadae.

Ripoti ya utafiti baada ya uchaguzi wowote ambao CDM imeshiriki ni vema piaikawasilishwa katika ngazi zote za chama Tanzania bara na Tanzania visiwani iliiwe ni sehemu ya wanachama na viongozi wa CHADEMA kuendeleza mikakati hiyo yaushindi na kuyafanyia marekebisho mikakati ambayo haikufanikiwa sana. Lengohasa likiwa ni kuwaandaa wananchama wote kuitoa CCM mwaka 2015.

Mungu ibariki CHADEMA.

 
Walibana kila mbinu ya wizi hadi kwenye hot pot na themos wakasahau kwenye soksi za mawakala, next time waangalie sana sehemu hizo.
 
Back
Top Bottom