CHADEMA, Tunaomba Bango hili Kila wilaya...

Acheni ujinga wenu mbona chadema wana kofia na skafu zote huwa mna wauzia mashabiki wa chadema,mkikosa cha kufanya mna anza umbea umbea hapa jf! kwani hao wazee wamelazimishwa kupewa hizo skafu? tatizo lenu chadema kila mnacho fanya mna ona sahihi na nyie yale maskafu yenu ya kazi gani?
 
Naomba Bango hili liwe na Maandishi haya.

''MWISHO WA UZALILISHAJI HUU 2015''

attachment.php

Khaaaaa!!!!! kweli huu ni udhalilishaji daaah....imeniuma asee kuona watanzania wanagombania kupewa hizo nguo....afu nape kama vile anawaringishia......hataki kuwapa....
 
nape anawachekea tuu hataki kuwapa ajiulize zitawatosha wangapi hizo nguo,
Nilikuwa nachukia sana nikimuona mmama amevaa khanga ya ccm kwa sasa sichukii tena wacha wapooze machungu ya dhahabu tunazoibiwa!
 
dahh ... halafu hawa ni watu wazima na umri wao.... pia wamechoka sana kimaisha
 
Acheni ujinga wenu mbona chadema wana kofia na skafu zote huwa mna wauzia mashabiki wa chadema,mkikosa cha kufanya mna anza umbea umbea hapa jf! kwani hao wazee wamelazimishwa kupewa hizo skafu? tatizo lenu chadema kila mnacho fanya mna ona sahihi na nyie yale maskafu yenu ya kazi gani?
Leta picha kama unaushahidi sio unabwabwaja, Sisi CDM tunauza kutunisha mfuko wa M4C nyie mnaiba fedha zetu walala hoi mnatengenezea hizo kanga, kofia,fulana N.K halafu mnajifanya kutupa bure wakati mmenunulia kwa fedha zetu, kwa sasa hatudanganyiki 2015 mje na suruali na viatu vya CCM lakini kura hatuwapi ng'o.
 
Acheni ujinga wenu mbona chadema wana kofia na skafu zote huwa mna wauzia mashabiki wa chadema,mkikosa cha kufanya mna anza umbea umbea hapa jf! kwani hao wazee wamelazimishwa kupewa hizo skafu? tatizo lenu chadema kila mnacho fanya mna ona sahihi na nyie yale maskafu yenu ya kazi gani?

hahahaaaa
 
Kweli kabisa ccm inawanyanyasa wazee wetu. Naomba vijana tubadirike tusiwafuate akina Nape kwa udhalilishaji huu maana ni ahibu kwa kijana kufanya mambo ambayo ccm inafanya.

sio ahibu bana, ni aibu.
 
Huu ni udhalilishaji. CCM wanatumia umasikini huu wa wananchi kujipatia kura. we unafikiri akipata khanga kura itaenda wapi?
Mlachake mie huwa nahisi na ujinga pia unachangia.....hivi kwani huwezi kuchukua kanga afu kura ukaacha kutoa?....huwa wanasimamiwa kwenye kura zao?.....yeyote atoaye kura yake kwaajili ya khanga, kofia, tshirt, skafu n.k...ni mjinga.....kwanza nguo zenyewe huwa ni za quality ya chini kabisa....tshirt zao ukipewa ukaifua mara moja tu kazi kwisha.....inatepeta balaa...waelimishwe waelewe kuwa kura zao zina thamani kuliko kitu chochote....
 
Last edited by a moderator:
Mbona hajitokezi akajibu kama kawaida yake? Kweli umemkamata pabaya... Namsubiri aje akanushe kuwa hajawai kufanya hivyo! Ila mleta mada umemmaliza, kuweka picha umemdaka n****ti zake, ndo maana haonekani, wala hamtamsikia. Kudadadeki, hii ni jf bhana!!!
 
Mlachake mie huwa nahisi na ujinga pia unachangia.....hivi kwani huwezi kuchukua kanga afu kura ukaacha kutoa?....huwa wanasimamiwa kwenye kura zao?.....yeyote atoaye kura yake kwaajili ya khanga, kofia, tshirt, skafu n.k...ni mjinga.....kwanza nguo zenyewe huwa ni za quality ya chini kabisa....tshirt zao ukipewa ukaifua mara moja tu kazi kwisha.....inatepeta balaa...waelimishwe waelewe kuwa kura zao zina thamani kuliko kitu chochote....
sweetlady, unajua hawa wakulima, income inapatikana msimu baada msimu. huwa hawanunui nguo mara kwa mara. so ukimpa tshirt ni bonge la dili.
 
Last edited by a moderator:
sweetlady, unajua hawa wakulima, income inapatikana msimu baada msimu. huwa hawanunui nguo mara kwa mara. so ukimpa tshirt ni bonge la dili.
Mlachake, mie sikatai wao kuchukua tshirt wachukue afu wawanyime kura zao....waige mfano wa arumeru.....wamekula ccm wakaenda kulala nyumbani CDM lol..
 
Last edited by a moderator:
Hii ni picha halisi ya umaskini- Sio wa kiuchumi tu kwa kuhitaji khanga wanazoringishiwa bali wa fikra. Umaskini wa mali huleta umaskini wa fikra. Hawa ni watumwa huru, wanahitaji kukombolewa ili waweze kujua na kusimamia bila woga fedha yao ambayo inatumika kununua khanga na kofia ili kuzidi kuwanunua kwa utumwa uliopevuka. Wanahitaji kutolewa kwenye hiyo "vicious cycle".
 
Back
Top Bottom