Chadema toeni kauli katika hili

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Naamini CHADEMA ambacho ndicho chama tegemeo kwa wengi mnaona hali hii la mgomo wa madaktari!mbona mnakuwa kimya?maslahi mnayotetea ni yapi?dr slaa,zito kabwe,tundu lisu,peter mnyika na wengineo mko wapi!tunaomba kauli ya chama chetu!kukaa kimya ni kututelekeza.naamini kwamba huwa mnaperuzi humu.tupeni tumaini!
 
CHAMA cha Matumaini, haki, dira na mwelekeo wa Raia masikini Tanzania, Toeni Kauli, hali hii ya wagonjwa kufa kama wageni na Wakimbizi ktk Nchi yao Inatisha... DR Slaa Sema BB!
 
Kweli jamani tupeni njia mbadALA JK na washikaji zake wamegonga mwamba na broo (JK) ndo kakimbilia Finland hivyo
 
hatutaki kauli, hatutaki ahadi ya kuyafanyia kazi madai ya madaktari, tunataka madai ya madaktari yatimizwe haraka sana.

Kwanza, ubunge wa viti maalum ufutwe mara moja, mishahara, marupurupu na stahiki zao zote zielekezwe kuchangia fedha za kutimiza madai ya madaktari.

Cheo cha Naibu waziri, Ukuu wa Wilaya na Mkoa vifutwe?

Mishahara ya TRA, TANAPA na mshirika mengine pamoja na taasisi ambazo wafanyakazi wake wanalipwa msharaha mkubwa usiolingana na huduma wanayotoa ipunguzwe haraka.

Mashangingi ya serikali yauzwe, kama haiwezekani wayapark ili pesa za mafuta, matengenezo na vipuri zielekezwe kwenye kuwatimizia madaktari madai yao.

Yes it can be done.
 
@FreeA

Kabla ya kwenda huko kote kuna MoU tunatoa kanisani bil.90 tunaweza kuzitumia hizo kabla ya kuangalia kwengineko..that is much easier root
 
Back
Top Bottom