Chadema Tengeneza utaratibu mzuri wa kuchangiwa fedha na Watanzania

We ni mpuuzi na unatoa Aibu na comment zako za kijinga, hata NY pana wezi Kama hao, tena uwatake radhi watanzania wenzako kwa kukosa adabu.

Kama kweli ni vibaka wewe hauoni wanajali sans mabadiliko kutaka kuchangia? Jaribu kuwa Mtu mzima hata Kama umri wako ni Kama Wa lulu makofongo wewe!

Watanzania wengi wanaishi J,burg na Pretoria ni vibaka wa simu na laptop pamoja na kuuza unga kuweni makini sana napafahamu vizuri South Africa.
 
We ni mpuuzi na unatoa Aibu na comment zako za kijinga, hata NY pana wezi Kama hao, tena uwatake radhi watanzania wenzako kwa kukosa adabu.

Kama kweli ni vibaka wewe hauoni wanajali sans mabadiliko kutaka kuchangia? Jaribu kuwa Mtu mzima hata Kama umri wako ni Kama Wa lulu makofongo wewe!

"Ushabiki Mandazi: Source MTM.
 
Angalizo Chadema msije mkachangiwa pesa za unga sio kila michango mnaitamani mtajikuta mnaingia kwenye mikono ya FBI money laundering drug.

Kama zile alizokamatwa mtoto wa Liyumba amabye ni rafiki wa Jk na alikamatwa na kilo 210. Mbona FBI hajaja kuwa kamata labda FBI awe Riziwani.
 
Angalizo Chadema msije mkachangiwa pesa za unga sio kila michango mnaitamani mtajikuta mnaingia kwenye mikono ya FBI money laundering drug.
heroinpix.jpg

Sehemu ya shehena ya madawa yaliyokamatwa
(Kwa msaada wa Michuziblogspot.com)
Jumla ya kilo 209 za dawa za kulevya aina ya Heroine zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 9, zimekamatwa katika Kijiji cha Mchinga mkoani Lindi na watu … wanashikiliwa na jeshi la polisi kuhusiana na dawa hizo haramu.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Polis wa Mkoa wa Lindi, George Mwakajinga, aliwataja waliokamatwa kuwa ni Morine Amatus Liyumba (21),
Pendo Mohamed Cheusi (67) ambaye ni mkazi na mkulima katika kijiji hicho, Hemed Said (27), dereva na mkazi wa Mtoni, jijini, Dar es Salaam, Ismail Adam (Athuman Mohamed Nyaubi ,28,) ambaye ni mfanyabiashara wa magari jijini Dar es Salaam.

Inaelezwa kuwa kiwango walichokamatwa nacho, ni kikubwa na hakijawahi kutokea katika historia tangu kuanzishwa kwa kitengo cha kupambana na kuzuia dawa za kulevya nchini mwaka 1990. Shehena hiyo iliyokuwa imefichwa kitaalamu ndani yamadumu makubwa, inadaiwa kuwa ilikuwa ikisafirishwa kuelekea nchini Afrika Kusini. Watuhumiwa walisafirishwa hadi jijini Dar es Salaam na wanatarajiwa kufikishwa mahakamani siku chache zijazo kujibu tuhuma zinazowakabili.
 
Ni vizuri kama watachangia tu kwa mapenzi mema ya nchi yao , sio kuchangia kwa kununua tiketi ya kuitwa kwenye ajira pindi Chadema itakapochukua nchi, maana mtakuwa na watanzania millioni tatu waliochangia kwa hali na mali sijui wote mtawapeleka wapi? au ndio kuwapa nyadhifa hata kama wengine hawana qualifications? alikuwa bodyguard wa Slaa anataka awe katibu mkuu wizarani...
 
heroinpix.jpg

Sehemu ya shehena ya madawa yaliyokamatwa
(Kwa msaada wa Michuziblogspot.com)
Jumla ya kilo 209 za dawa za kulevya aina ya Heroine zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 9, zimekamatwa katika Kijiji cha Mchinga mkoani Lindi na watu … wanashikiliwa na jeshi la polisi kuhusiana na dawa hizo haramu.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Polis wa Mkoa wa Lindi, George Mwakajinga, aliwataja waliokamatwa kuwa ni Morine Amatus Liyumba (21),
Pendo Mohamed Cheusi (67) ambaye ni mkazi na mkulima katika kijiji hicho, Hemed Said (27), dereva na mkazi wa Mtoni, jijini, Dar es Salaam, Ismail Adam (Athuman Mohamed Nyaubi ,28,) ambaye ni mfanyabiashara wa magari jijini Dar es Salaam.

Inaelezwa kuwa kiwango walichokamatwa nacho, ni kikubwa na hakijawahi kutokea katika historia tangu kuanzishwa kwa kitengo cha kupambana na kuzuia dawa za kulevya nchini mwaka 1990. Shehena hiyo iliyokuwa imefichwa kitaalamu ndani yamadumu makubwa, inadaiwa kuwa ilikuwa ikisafirishwa kuelekea nchini Afrika Kusini. Watuhumiwa walisafirishwa hadi jijini Dar es Salaam na wanatarajiwa kufikishwa mahakamani siku chache zijazo kujibu tuhuma zinazowakabili.

Huwezi kumlinda mbwa wa bosi ukashindwa kumlinda bosi........madawa mnayauza nyie na swahiba wa Jk Liyumba na wewe unayewalinda.
 
Pia Joburg na capetown Watanzania wengi waliopo ni wauza mboga mboga na matunda. Ukienda mitaa ya rissik, long street, harrison na waterfront utawasikia wanavyokigonga kishwahili. Wabongo wanadharauliwa sana kule, bora hata wazimbabwe ambao ni madereva tax. Labda director1 atuambie hizo rand chache anazozipata kwenye kuuza mboga mboga zitakisaidiaje chadema.

Mkuu, wahenga walisema, haba na haba hujaza kibaba, na ndo ndo ndo si chururu.
Katika ukombozi kila senti inayotolewa kwa lengo hilo jema inamaana sana kuliko mamilioni ya kifisadi.
Mkuu, wachangiaji wako wengi tu na siyo Afrika kusini pekee. Wanachosubiri ni utaratibu mzuri wa kuchangia kutoka nje ya TZ!
Au unaona wivu kwamba CDM watapata pesa nyingi?
Hizo hizo za kuuza mboga na kubeba maboksi na kupaka rangi pia. Japo zaonekana vijisenti lakini wachangiaji ni wengi, zitasaidia tu.
 
Angalizo Chadema msije mkachangiwa pesa za unga sio kila michango mnaitamani mtajikuta mnaingia kwenye mikono ya FBI money laundering drug.

Mbona wewe hujaingia kwenye mikono ya FBI kwa kuingiza madawa ya kulevya through importation ya ma-container ya sukari kutoka Brazil?
 
Angalizo Chadema msije mkachangiwa pesa za unga sio kila michango mnaitamani mtajikuta mnaingia kwenye mikono ya FBI money laundering drug.[/QUOTE
Nikikumbuka juzi tu wkt unatoka Chuo ulikuwaje na leo ukoje Kwa Jasho letu ukisaidiwa na Babako kuwa magogoni inanitoa machozi
Lkn naamini c mm tu watanzania wote wanalia Mungu atatupa nguvu tutachangiana hizi ndogo za unga, mnazo nyie au umesahau huwa mnapewa suti kisha mnalipa mali zetu kama zawadi? Shame on u n ur d.a.d.y MR dagama
 
Mkuu ujumbe nadhani utawafikia maana Zitto, Mnyika, Michael Aweda, Nanyaro na wengineo ng member humu.

Otherwise hata mimi nadhani bado cdm hawajaweka nguvu ya kutosha kwenye kuwashirikisha wananchi kuwachangia. Nilifurahi walipozindua M4C lakini iliishia pale na hakuna kilichoendelea! Nadhani wanahitaji kuongeza mbinu na nguvu!

Ukweli Chadema wajaribu kubuni mpango endelevu zaidi ya wanavyofanya sasa kwani hata Shillingi moja kutoka kwa maskini anayeitakia mema CDM itasaidia kidogo kuendesha harakati za kumukomboa mtanzania maskini, wenzenu Magamba wana matajiri wao mafisadi na pesa kwao wakati wa uchaguzi huzipata kama wameangukiwa na Tsunami toka kwao kwani mafisadi hupenda CCM ishinde ili waendelee kuhomola inchi yetu,

Watanzania maskini tupo zaidi ya hao wanachama Million 4 wa CCM, hivyo hata tukichanga jero jero chama kitasonga
 
Mkuu ujumbe nadhani utawafikia maana Zitto, Mnyika, Michael Aweda, Nanyaro na wengineo ng member humu.

Otherwise hata mimi nadhani bado cdm hawajaweka nguvu ya kutosha kwenye kuwashirikisha wananchi kuwachangia. Nilifurahi walipozindua M4C lakini iliishia pale na hakuna kilichoendelea! Nadhani wanahitaji kuongeza mbinu na nguvu!

Yes fungua mianya tuchangie chama chetu kitachotukomboa, Nimeona ktk cdm web kuna kasehemu unachangia 350/= lakin we need an open means that coild allow anyone anywhere to contribute for chama ili 2015 tuwang;oe mafisadi.
 
Back
Top Bottom