CHADEMA Temeke yazidi kupasua ngome za CCM sasa ni Mtoni

bennymas

Member
Apr 10, 2013
68
30
kamanda Mwekyembe Mbunge mtarajiwa kwa kupitia UKAWA akizungumza na wananchi wa kata ya Mtoni juu ya mambo matatu muhim mmoja kujitokeza kwa wingi wakati wa kujiandikisha daftari la kudumu la mpiga kura na mambo mengine yanayo husu temeke.

kamanda mwakyembe anasema mvua inyeshe iwake mwaka huu mtevu na madiwani wake awatapona ni lazima waondoke kwani wametusababishia umaskini mkubwa temeke wao wanakura bata kawe sisi tunakula vichwa vya kuku na utumbu hili alikubaliki tumepata jembe la kwenda kutusemea bungeni
attachment.php
attachment.php

 

Attachments

  • IMG_1204.JPG
    IMG_1204.JPG
    22.7 KB · Views: 1,022
  • IMG_1207.JPG
    IMG_1207.JPG
    23.9 KB · Views: 867
Back
Top Bottom