Elections 2010 Chadema temeke chaliiii!!!

Kwa wanaoishi tmk huu ni msiba mkubwa, hali kule ni mbaya sana kiuchumi na miundo mbinu, hali hii si ya kushabikia.

umeshawahi kuona angalau kwenye TV watu wa TMK wakipanga foleni za maji kama ilivyo KImara? Miundombinu ipi unayozungumzia wewe? Kama ni barabrara; ya kutoka wapi kwenda wapi? Unazungumzia umeme? Ni sehemu gani DSM hii kusikokuwa na mgao wa umeme? Au unazungumzia simu? unaamaanisha nini unaposema miundombinu?
 
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!

asiyekubali kushindwa si mshindani, what this forum has managed to do and is still doing is to proactively challenge and provoke these worn out ideologies of party heavyweights, thinking out of the box and create change in the way we look at thinkgs ..surely not on the face value, we were ready for change since 2000, but we didnt have the RIGHT candidate running for presidential position, to me Dr Slaa is a hero, he had sacrificed his already YES constituency for his whole party, if Nyerere said the true opposition will come from within CCM i couldnt agree more, Dr Slaa WAS CCM, that is why he is making them to go back to the drawing board and re organise, he has managed to deliver many opposition party pm's for his unselfish act ( if the exit polls are doing us justice ) for me this is more that what i expected, the cherry on top will be if he gets the title... and then..only then..ladies and gentlemem,,, CCM will officially be THE OPPOSITION PARTY...can i get an AMEN out there ...pipoooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Temeke wamelala, hebu wajaribu kuangalia Ilala na Kinondoni barabara hadi uchochoroni wao hawana Kigamboni inauzwa Kurasini pia imeshauzwa kwa kisingizio cha Bandari

Kurasini imuzwa kwa nani? wale walionunua plots na kujenga maghala na show rooms ambazo ni muhimu kwa bandari au? Hivi unajuwa unachoongea au unasema tu? Umwahi kupita lini Kurasini ukakuta zimejengwa Cassino na Hotels tofauti na lengo lililokusudiwa? Eti Ilala na Kinondoni barabara hadi uchochoroni!!!1 Sasa unataka kusema nini; manake nahisi kukuelewa kwamba unakubali kwamba CCM kumbe inafanya mambo makubwa. Kwa Dar, ni wilaya ya TMK pekee ambayo majimbo yake yote yamewahi kuchukuliwa na Upinzani (NCCR ya Mrema) na CUF!!! Sasa unapotoa fagio kwa Ilala jimbo ambalo halijawahi kuchukuliwa na wapinzani unaonesha kwamba CCM wanafanya makubwa hata kama mnajifanya hamuoni!!! Hiyo Kinondoni, ni mara moja tu ambapo Ubungo iiwahi kuwa chini ya NCCR!!!! WASILIMISHE WENZAKO NMA KUWAAMBIA KWAMBA CCM KUMBE INAFANYA MAMBO MAZURI ILALA NA KINONDONI( Refer, barabara hadi uchochoroni)
 
Nas DAz what good has CCM brought to you ? what good has CCM done and delivered in the past 5 years with the 85% winning whim ? did you had any notable change ( not in your life ) but in your country's situation ??........do i hear a YES ...?? oh i hear it...what kind of change gentleman....?? ohhh you only had your life made more miserable and a lot of misfortunes hit you so fast you forgot blueband's price..can i get a yes Mr DAZNAS xcuse moi NAZDAZ ?? amen sweetheart !
 
Ni kweli kabisa... tulitegemea hivyo, kwani ccm inashina majimbo yote yenye watu wasio na elimu au maskini kwani hawajui rights zao

Kigamboni ndio wanatia huruma zaidi kwani hata ardhi yao imeuzwa

nted with thanks huu ndo ukweli wenyewe
 
Back
Top Bottom