CHADEMA tawi la Sauti Tabora kufanya mkutano wa ndani

JBK

Member
Aug 17, 2012
68
13
Chama cha demokrasia na maendeleo siku ya jumapili ya tarehe 21 kitakuwa na mkutano wa ndani na wanachama wake ambao utafanyika katika chumba kimojawapo cha kufanyia semina karibu na mabweni ya wanafunzi wa kiume wa TTC ambapo mambo mbalimbali yatazungumzwa,likiwepo na tukio kubwa la kupokea wanachama wapya waliojiunga na chuo mwaka huu,ambapo viongozi wote wa chama tawi la saut watakuwepo kama kamanda ELIFURAHA JOHN ambaye ndiye mwenyekiti wa chama,ndugu MWAKIPESILE katibu mwenezi,kamanda LUGANO EDSON WA VIJANA NA KATIBU WA BAVICHA ndugu NAFIWE MIHO na viongozi wengine na kwa wale makamanda wote mliopo hapa TABORA hata kama si wanafunzi mnakaribishwa sanaaaaaaaaaa,,,,mkutano huo utaanza saa 9 alasiri
 
Chama cha demokrasia na
maendeleo siku ya jumapili ya tarehe 21 kitakuwa na mkutano wa ndani na
wanachama wake ambao utafanyika katika chumba kimojawapo cha kufanyia
semina karibu na mabweni ya wanafunzi wa kiume wa TTC ambapo mambo
mbalimbali yatazungumzwa,likiwepo na tukio kubwa la kupokea wanachama
wapya waliojiunga na chuo mwaka huu,ambapo viongozi wote wa chama tawi
la saut watakuwepo kama kamanda ELIFURAHA JOHN ambaye ndiye mwenyekiti
wa chama,ndugu MWAKIPESILE katibu mwenezi,kamanda LUGANO EDSON WA VIJANA
NA KATIBU WA BAVICHA ndugu NAFIWE MIHO na viongozi wengine na kwa wale
makamanda wote mliopo hapa TABORA hata kama si wanafunzi mnakaribishwa
sanaaaaaaaaaa,,,,mkutano huo utaanza saa 9 alasiri

vilevile bila kusahau mkutano huo utauzuliwa na mwenyekiti wa mkoa wa CHADEMA ndugu NKASA MBAROUK na viongozi wengine wa mkoa
 
Baada ya kikao cha ndani msisahau kuja kutusaidia kwenye mapambano huku Sikonge kwenye kata za Ipole na Kiloleli.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo siku ya jumapili ya tarehe 21 kitakuwa na mkutano wa ndani na wanachama wake ambao utafanyika katika chumba kimojawapo cha kufanyia semina karibu na mabweni ya wanafunzi wa kiume wa TTC ambapo mambo mbalimbali yatazungumzwa,likiwepo na tukio kubwa la kupokea wanachama wapya waliojiunga na chuo mwaka huu,ambapo viongozi wote wa chama tawi la saut watakuwepo kama kamanda ELIFURAHA JOHN ambaye ndiye mwenyekiti wa chama,ndugu MWAKIPESILE katibu mwenezi,kamanda LUGANO EDSON WA VIJANA NA KATIBU WA BAVICHA ndugu NAFIWE MIHO na viongozi wengine na kwa wale makamanda wote mliopo hapa TABORA hata kama si wanafunzi mnakaribishwa sanaaaaaaaaaa,,,,mkutano huo utaanza saa 9 alasiri

Siasa hadi vyuo vikuu kwa kweli tunapoteza dira kama watanzania
 
wanachama kutoka sauti tunaomba mshuke sikonge hata kwa cku2 ili tukasimike madiwani ipole na kiloleli ..aluta continue.
 
Makupa dnt u knw evry human being is a politcal animal in nature? politcs is evrywhere even in a church my comrade!
 
Baada ya kikao cha ndani msisahau kuja kutusaidia kwenye mapambano huku Sikonge kwenye kata za Ipole na Kiloleli.

jamani tutakuja makamanda mipango yote ni siku hiyo wala msijali tupo njiani kuja huko tuwashughulikie hao mapanya
 
Hongereni makamanda, wakumbukeni INALA, KAZIMA, KIDUDO ili vijana waelimishwe madiliko, viva chadema M4C daima
 
jamani tutakuja makamanda mipango yote ni siku hiyo wala msijali tupo njiani kuja huko tuwashughulikie hao mapanya
Inatia moyo sana vijana munavyojipanga kurudisha nchi yetu mikononi mwa wananchi,hongereni sana
 
jamani watanzania na wasomi,kumbukeni nchi inahitaji ukombozi,na chuo au shule ni sehemu ya kujua ukweli kuhusu jamii zetu mfano kwanini sisi ni maskini wengine ni matajiri,kwa nini miradi ya maendeleo kama shule,barabara,hospitali hazijengwi ilihali tunatoa kodi,kwa nini mama zetu wanajifungulia vichakani wakati pesa za huduma tunatoa,kwa nini watoto zetu wanakaa chini mashuleni? na mengine.yote haya ni siasa,kumbuka huwezi tenganisha siasa an maisha katika nyanja yoyote,waacheni vijana wajadili ukweli wa nchi yao.wasomi kama hawa wanapaswa waangaliwe kwa umakini na wazingatiwe wayazungumzayo,shule si darasani tu,sisi tulisoma zamani na tulidanganywa kuwa tusipende siasa na ndo maana nchi inaelekea hapa tulipo,nawapeni hongera
 
Back
Top Bottom