CHADEMA tambueni maana halisi ya Jeshi la Polisi

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Mimi hii naiita ni hofu ya kushindwa katika uchaguzi wa Arumeru
mashariki na kuanza malalamiko mapema kama kawaida yao.

DR. SLAA leo eti Jeshi la Polisi limeandaa vijana 95 waliohitimu
mafunzo CCP ili wakawe chanzo cha fujo katika uchaguzi wa Arumeru

Source: ITV habari

My take: Acheni uoga na visingizio bhana subirini muone mtakavyo
angukia pua.
 
NI kweli vijana wa CCP leo ndiyo ilikuwa POP yao na kesho utawaona Arumeru na kwa jinsi wasivyojua sheria na munkari wa kupiga baada ya mateso kuna uwezekano mkubwa sana wakawa chanzo hasa kutokana na amri tata ambazo zinategemea kutolewa siku hiyo.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
Kwa taarifa yako CDM wako vizuri na Polisi. Game sometimes inachezwa nje ya uwanja. Polisi juzi tu waliandika barua kwa mkuu wao kuwa wasitumiwe vibaya na vigogo, wapo tayari kusimamia haki Arumeru.
 
Hv kwa nini kila siku wao tu,wanataka kila mahali wao ndio washinde??? Dk Slaa anawapoteza sana.
 
Kengemaji upo,2achie wana arumeru 2amue gamba wewe,.ivi wewe kenge izo buku mbili za nape huzichoki?
 
dk ana data na anajua anacho kifanya na data kama hizo zinaletwa na hao hao polisi ili chama kijiandae kwa sababu hata polisi walisha ichoka ccm
 
mimi hii naiita ni hofu ya kushindwa katika uchaguzi wa arumeru
mashariki na kuanza malalamiko mapema kama kawaida yao.

Dr. Slaa leo eti jeshi la polisi limeandaa vijana 95 waliohitimu
mafunzo ccp ili wakawe chanzo cha fujo katika uchaguzi wa arumeru

source: Itv habari

my take: Acheni uoga na visingizio bhana subirini muone mtakavyo
angukia pua.
mkuu kwanini usifanye kwanza utafiti juu ya kauli hiyo ya dr. Badala ya ku'bezi kwenye ushabiki?
 
NI kweli vijana wa CCP leo ndiyo ilikuwa POP yao na kesho utawaona Arumeru na kwa jinsi wasivyojua sheria na munkari wa kupiga baada ya mateso kuna uwezekano mkubwa sana wakawa chanzo hasa kutokana na amri tata ambazo zinategemea kutolewa siku hiyo.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.

Mt anayeisifia ccm nahisi anamapungufu ya uelewa kama simapungufu ya uoni.ukiangalia mt anachosifia ccm ni ujinga mtupu.unakuta kiongoz anasimama mbele za wat na kunadi eti chama kinachodumisha amani na utulivu hakuna kingine wanachofanya.kama unaakili ya kuangalia mbele na nyuma angalia tanzani ilipoleo angalia tulipotoka na chamahicho alafu jiulize tunakoenda kama tukiwa na ccm hiyo tutakua wapi?mimi binafis naona wakati wa jk nyerere na mwinyi ulikua bora kuliko sasa pamoja na kua nch imekua na ongezeko kubwa la watu hali nimbaya na inazdi kua mbaya.hapa namkumbuka nyerere sana kwakauli zake za busara pale aliposema viongoz wa sasa wameacha yale mazuri alowaachia na kubeba yale mabaya.anayeipenda ccm hebu ningependa atueleze mazuri yapi iliyofanya?lakn atuwekee na maovu yake akiona mazuri ya maendeleo nimeng atakua na haki yakuipenda
 
Back
Top Bottom