Chadema someni hapa, sio mnapapatika na kukurupuka tu...

Kwa hiyo una taka tuhame bila kuwafichua mafisadi walio ficha pesa uswisi? Hakuna kulala mpaka kieleweke
 
nahisi wewe unataka post zako ziongezeke maana sioni kama uliwaza vyema kabla ya kuandika... watu wengine acheni tabia ya kukurupuka......wewe ni nani mpaka uwapangie na kuwachagulia namna ya kuishi na jinsi ya kuchukulia mwambo... tumetofautia sana hasa jinsi ilivyo mitazamo na jinsi ya kuchukulia mambo.... na ndio maana akili yako fupi ikakufanya kufikiri MAENDELEO NI KULA UGALI TU, nahisi hata katika maisha yako ya kawaida unawaza ujinga kama huu..... nasema huo ni uzezeta tena uzezeta wa kiwango kikubwa sana,,,, KUBALI KUJIFUNZA NA KUFIKIRI KABLA YA KUANDIKA KITU MAANA HAPA SIAMINI KAMA KUNA KILAZA WA KIWANGO CHAK
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.
Mara nyingi mtu anaetumia wingi katika sentensi zake kuwasilisha mawazo yake binafsi huwa hajiamini(ana low self esteem), na pia haamini katika anachokisema, ndio maana anajisikia amani zaidi akitumia sentensi zinazowakilisha uwingi ili kujifariji/kujipa moyo.
Usipende kuongea kijumla jumla hivyo...... kuna usemi unasema "only an idiot generalizes".
Tafakari, chukua hatua.
 
Hawa wenzetu ni wamafiki na wala wasiwakatishe tamaa. Ccm na serikali endeleni kutesa. Tunawafagilia mawaziri sasa hivi hawana mfano mwakyembe muhogno tibaijuka magufuli kagasheki waaaaaaaaaaauuuuuiii
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Putin, even if you might have RIGHT reason(s) of showing your personal Hatred to CHADEMA, this is the WRONG approach mkuu
 
unajua maana ya maendeleo?huo ugali utatoka wapi?
Unajua maana ya amani?chanzo cha amani na sababu zinazoweza kupelekea kuvunjika kwa amani?...tafakari hili;widening gap btn the rich(ruling class,mafisadi nk) and the poor(who ar the majority)-hawa vigogo wanapeleka watoto wao kwenye shule 'nzuri' na wanawaandalia positions kwenye gvt politics na ajira nyingine za maana-watoto wengi wa masikini wanasoma shule za kata,wale wanafanikiwa kwa tabu kufika vyuo vikuu ajira hakuna!!
Ndugu kumbuka amani si zawadi,haitafutwi na wala hailindwi kwa maneno au mtutu wa bunduki.TAFAKARI,CHUKUA HATUA

Tatizo sasa hivi ni masoko, chakula kede kede, jisomee:

[h=1]Kilimo Kwanza: Good Policies and Leadership Give Farmer’s a Leg Up in Tanzania[/h] By agraafrica September 3, 2010 AGRA AGRF Kilimo Kwanza Tanzania

Beginning in 2005, the government of Tanzania began implementing policy changes that made improved seed and fertilizers more widely available to farmers.
Then in 2009, the government launched the Kilimo Kwanza, which means ‘Agriculture First’ in Kiswahili, to transform agriculture into a modern and commercial sector. The program has resulted in maize surpluses.

H.E. Peter Pinda, Prime Minister of Tanzania

Now, a new problem exists for some Tanzanian farmers: a sustainable market for them to sell their harvests for a profit.

“The world is recovering from a global food and financial crisis,” noted H.E. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Prime Minister of Tanzania. “Africa must take the bull by the horns and end the structural reasons that prevent it from feeding itself.”
The message is clear: Put farmers first and they will deliver.

Source: Kilimo Kwanza: Good Policies and Leadership Give Farmer's a Leg Up in Tanzania | AGRA Blog

Hayo ndio mambo ya Kikwete, nyie bakini viwandani mkiunda uongo tu.
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.
asante na ubarikiwe sana,
nasisitiza zaidi kama wewe ulivyosisitiza hapo juu, UBARIKIWE sana aisee.
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Sasa CHADEMA Hapa wanakujaje?????
Holy Cra.p, Masaburi at work
 
Tatizo sasa hivi ni masoko, chakula kede kede, jisomee:

Kilimo Kwanza: Good Policies and Leadership Give Farmer’s a Leg Up in Tanzania

By agraafrica September 3, 2010 AGRA AGRF Kilimo Kwanza Tanzania

Beginning in 2005, the government of Tanzania began implementing policy changes that made improved seed and fertilizers more widely available to farmers.
Then in 2009, the government launched the Kilimo Kwanza, which means ‘Agriculture First’ in Kiswahili, to transform agriculture into a modern and commercial sector. The program has resulted in maize surpluses.

H.E. Peter Pinda, Prime Minister of Tanzania

Now, a new problem exists for some Tanzanian farmers: a sustainable market for them to sell their harvests for a profit.

“The world is recovering from a global food and financial crisis,” noted H.E. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Prime Minister of Tanzania. “Africa must take the bull by the horns and end the structural reasons that prevent it from feeding itself.”
The message is clear: Put farmers first and they will deliver.

Source: Kilimo Kwanza: Good Policies and Leadership Give Farmer’s a Leg Up in Tanzania | AGRA Blog

Hayo ndio mambo ya Kikwete, nyie bakini viwandani mkiunda uongo tu.

Mazumbukuku bana
 
Wana jf nisaidieni, nitumie dawa au mbinu gani ya kufukuza mijusi ndani kwangu? House ninayokaa ina grills nyingi hivyo wanatumia hali hiyo kuwepo ndani. Siwapendi kabisa. Nisaidieni wana jf wenzangu. Natanguliza shukrani zangu
 
nyie mnakazi ya kujuwa watoto wa wenzenu wanaposoma, je nyie mmejituma vp kuhakikisha vizazi vyenu vinaishi maisha mema?
Acheni upuuzi na kuyumbishwa na watu wachache

Duh! Mkuu wewe ndio acha huo ******! Tena wewe ndio unayetakiwa kuhama Tanzania kwa kukubali ******!
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Sijawahi kusoma pumba kama hizi kwa muda mrefu sana. Yaani wewe unadhani kuwa Tanzania ni mali yako tu na CCM tu? Nchi hii ni ya watanzania wote CHADEMA,CUF TLP na vyama vingine vyote. Iwapo CHADEMA wanakukosesha usingizi, basi ujue huo ndiyo utaratibu wa kisiasa.

Kwa nini unawataka waende kwenye nchi zenye maendeleo? Yaani unakubali kuwa Tanzania hakuna maendelea halafu eti unafurahia ugali. Kwa taarifa yako, inabidi ufahamu kuwa amani na ufukara havikai pamoja. Ni kutokana na ufukara huo ulioletwa na CCM ndiyo maana CHADEMA wanakuwa na nguvu. Na iwapo CCM inapenda sana amani kama unavyoimba hapa, basi isingekuwa inatumia jeshi la polisi kuua raia wanaotumia haki yao ya kidemokrasia kuonyesha hisia zao za kisiasa kwa njia za migomo na maandamano ya amani.
 
Kuna magamba mmoja, nadhani ni RC wa mkoa fulani alitamka majuzi kwamba amani kwanza halafu ndiyo haki. Typical magamba, kisengelenyuma.

Kwanza ni haki, ambayo ndiyo huzaa amani! Na amani haiombwi au kupigiwa tarumbeta. Amani hujengwa kwa misingi thabiti ya haki. Period.
 
Wana jf nisaidieni, nitumie dawa au mbinu gani ya kufukuza mijusi ndani kwangu? House ninayokaa ina grills nyingi hivyo wanatumia hali hiyo kuwepo ndani. Siwapendi kabisa. Nisaidieni wana jf wenzangu. Natanguliza shukrani zangu

Tembelea kiwandani, si unavijuwa vile viwanda?
 
Back
Top Bottom