CHADEMA Sombetini Arusha washiriki mazishi ya Edward Mgogo

Chademakwanza

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
6,346
1,871
CHADEMA SOMBETINI wameshirikiana na kanisa la TAG mtaa wa ngusero pamoja na wananchi wa Sombetini wamemzika mzee EDWARD MGOGO maarufu kama "bab bab bab aliyefariki kwa kudondoka ktk mtaro alfajiri ya Alhamisi na kutolewa mtaroni na wasamaria na diwani wa sombetini ALLY BANANGA.

Mzee huyo hakuwa na ndugu wala mtoto kwa muda wote alioishi Arusha.
 
Attachments

  • IMG-20150121-WA0130.jpg
    IMG-20150121-WA0130.jpg
    146.8 KB · Views: 2,017
NA! Uongozi mpya wa chadema mtaa wa Lemara umefanikisha utengenezaji wa barabara ya bia lemara kwa kusafisha kingo za barabara zilizokuwa vichaka na kuchimba na kusawazisha barabara kwa greda na sasa barabara hiyo inapitika vyema,hongereni viongozi wa chadema lemara na sombetini.
 
Mwambieni BANANGA atimize ahadi zake alizowaahidi wana SOMBETINI, aache hizi porojo za kujificha nyuma ya mazishi.
 
NA! Uongozi mpya wa chadema mtaa wa Lemara umefanikisha utengenezaji wa barabara ya bia lemara kwa kusafisha kingo za barabara zilizokuwa vichaka na kuchimba na kusawazisha barabara kwa greda na sasa barabara hiyo inapitika vyema,hongereni viongozi wa chadema lemara na sombetini.

Hizi ni salaam kwa diwani wa Lemara kua wakati wakufungasha virago vyake umetimea
 
NA! Uongozi mpya wa chadema mtaa wa Lemara umefanikisha utengenezaji wa barabara ya bia lemara kwa kusafisha kingo za barabara zilizokuwa vichaka na kuchimba na kusawazisha barabara kwa greda na sasa barabara hiyo inapitika vyema,hongereni viongozi wa chadema lemara na sombetini.

hata huku kahama mtaa wa nyasubi makamanda wame anza kazi kwa kuchonga barabara za mtaa wa nyasubi ya rocken hill,wametuchongea barabara ambazo hazijawahi kuchongwa na serikali ya magamba.pipoozzzz..!
 
Ndio tafauti kati ya ccm na chadema inapoonekana hapo
 
Back
Top Bottom