Chadema si mama yangu

Angalia isije siku moja ukamkataa huyo baba yako usijiaminishe sana kwa hawa wanasiasa uchwara wengi ni waganga njaa utakuja kulia na kusaga meno huku ukimkataa baba yako mzazi mbele za watu.
 
Leo nilitarajia kuwa nitapigwa ban ya nguvu. Nape na wenzake watakuja fasta ili kuchangia wakifika macho yatawatoka. Hii ni mbinu nzuri sana ya kuwafikishia ujumbe
 
Angalia isije siku moja ukamkataa huyo baba yako usijiaminishe sana kwa hawa wanasiasa uchwara wengi ni waganga njaa utakuja kulia na kusaga meno huku ukimkataa baba yako mzazi mbele za watu.
Mbona wewe hujamkataa Mr.Dhaifu,kwani yeye sio uchwara.Nenda zako huko pambafe weye!
 
Angalia isije siku moja ukamkataa huyo baba yako usijiaminishe sana kwa hawa wanasiasa uchwara wengi ni waganga njaa utakuja kulia na kusaga meno huku ukimkataa baba yako mzazi mbele za watu.

Hapo kwenye rangi, ni kama ulivyo wewe? Maana wanasiasa wote wa leo ni matumbo tu ndiyo yanawapeleka huko.
God so loved the world in that, while we were yet sinners, Christ died for us.
 
Mbona wewe hujamkataa Mr.Dhaifu,kwani yeye sio uchwara.Nenda zako huko pambafe weye!

Unatukumbusha mbali sana wewe Chadema-Kata JF miaka ya 1985 taarifa ya habari RTD ikiisha kulikuwa na mazungumzo baada ya habari.
 
daa! mkuu umepona nilitaka nikuchane live duu umeshusha munkal!! ok change may become peopleeee!
 
Bali ni baba yangu.

Najua akina Nape, ritz, Zomba na the likes ambao wapambanaji mtanisaidia kuwataja, wamekimbilia post hii wakijua labda Dr. Slaa karudisha kadi na kujiunga na magamba.

Eee bwana ni mimi Saganka, nasema CHADEMA si mama yangu bali ni baba yangu maana wababa ndo wapiganaji wakuu wa haki katika jamii kama yetu,ndo maana mikutano ya cdm 80% au zaidi ni vidume.

Baada ya kusoma post hii, magamba hao wameingia mitini.

Tukusaidiaje weee GAMBAGWANDA?
 
Samahani mkuu,ni hasira tu baada ya kuona akina mama wengi bado wameshikilia magamba.Otherwise I respect women,and this is because my mother is a woman,and that will help.Umenisamehe mkuu?

Mkuu tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom