CHADEMA should stop boycotting – CCK

Vyama vingine vya siasa ni tatizo tanzania,viva chadema,viva kamati kuu chadema.endeleeni kumpuuza kibaraka tendwa.
 
Yani hichi chama hakitaki kujificha hata kidogo ili tusijue kama tawi la ccmweli.
Hivi huyo Tendwa ndio kawatuma watoe ushauri? Matawi mengine bhana!
 
CCK sijui Kama na wao ni chama cha siasa, hivi nani anafahamu rangi ya bendera Yao? Uliwahi kuiona wapi , ningependa kwenye jibu anisaidie

Ni ya kijani na njano, huwa haiwekwi hadharani Bali hukaa sebuleni kwa viongozi wakuu , mpaka akualike nyumbani kwake Ndio unaweza kuiona
 
nngu007 Jamani hv hyo viti vya nyumba si vya bar..?
mbona mazingira yenyewe kama ya bar.?
Ina maana hawa CCK hawana ofisi?
 
Last edited by a moderator:
Why would they meet with the one person wanted to get rid of them?.. Is that logical sound?

BTW Political parties' registrar should have met them( CCM, CHADEMA, CCK,TLP, CUF,NCCR,etc) more often and not only after the "killings"!

You are right Mkuu, By the way, kihistoria, hakuna vyama vinavyoua watu, vyombo vya dola ndio vinaua watu kwa kulinda masilahi ya dola yenyewe. NAPITA TU !
 
Huyu katibu mkuu si walikuwa wale aw mpito ? Ni link walifanya mkutano mkuu na akachaguliwa , then Tendwa Mbona hasimamii sheria kuwa chama kikipata usajili wa kudumu sharti kiwi na viongozi aw kuchaguliwa kwa Majibu aw katiba ya chama husika?
 
CCK fanyeni Mkutano na Wananchi Basi ? Mistafute Umashuhuri nyuma ya MIGONGO ya VYAMA Vingine...

KUna vyama vya wananchi na vyama vya magazeti na wasajili... kama zilivyo kampuni za kweli na za mifukoni

Haka kajamaa akina MMM wamekatosa lakini kanajitutumua tu na chama chake cha mkobali
 
wed, sep 26th, 201

tanzania |


by teonas aswile


secretary general of chama cha kijamii (cck), mr renatus muabhi has advised chama cha demokrasia na maendeleo chadema not to boycott different meetings which are conducted by registrar of political parties in tanzania.
cck-secretary-general-mr-renatus-muabhi.jpg

cck secretary general, mr renatus muabhi

speaking to media yesterday, muabhi said the registrar, john tendwa has goodwill of making sure political parties and police force work together peacefully.

“for example this meeting called few days ago aimed on discussing the killings which have been happening in chadema meetings so it should not ignore that call. The agreement reached in the meeting was that each political party should ensure there is no any death which happens in its meetings.”


responding to cck’s opinions through mobile phone interview, chadema communication officer, tumaini makene said cck should not deviate from the original point raised by chadema.


“tanzanians continue to believe chadema and movement for change m4c campaign which is going on throughout the country. Cck talks about the issue which they don’t know and their propaganda aim on hiding the truth.”



tendwa can not reconcile this issue.
 
Mmmmh! When was this said! Is he back to his post! Coz I am aware that Renatus Muabhi was removed from his post as CCK’s Secretary General by his party’s Central Committee (CC) as he was accused of distorting the party’s credibility. And if am not mistaken his post was temporary taken over by Kassim Mtalam. Update please....
 
You are right Mkuu, By the way, kihistoria, hakuna vyama vinavyoua watu, vyombo vya dola ndio vinaua watu kwa kulinda masilahi ya dola yenyewe. NAPITA TU !

huyu CCK ana issues nyingine, how would i wish to meet with someone who wants to eliminate me from the face of the earth?
 
Wed, Sep 26th, 201

Tanzania |


By Teonas Aswile


Secretary General of Chama cha Kijamii (CCK), Mr Renatus Muabhi has advised Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA not to boycott different meetings which are conducted by Registrar of Political Parties in Tanzania.
CCK-Secretary-General-Mr-Renatus-Muabhi.jpg

CCK Secretary General, Mr Renatus Muabhi

Speaking to media yesterday, Muabhi said the Registrar, John Tendwa has goodwill of making sure political parties and police force work together peacefully.

“For example this meeting called few days ago aimed on discussing the killings which have been happening in CHADEMA meetings so it should not ignore that call. The agreement reached in the meeting was that
each political party should ensure there is no any death which happens in its meetings.”

Responding to CCK’s opinions through mobile phone interview, CHADEMA Communication Officer, Tumaini Makene said CCK should not deviate from the original point raised by CHADEMA.


“Tanzanians continue to believe CHADEMA and Movement for Change M4C Campaign which is going on throughout the country. CCK talks about the issue which they don’t know and their propaganda aim on hiding the truth.”


Hapo kwenye red hakuna chama kinachohitaji wanachama na wapenzi wake wafe isipokuwa ni CCM kutumia jeshi la polisi vibaya kwa kutoa maagizo ya kuvuruga mikutano ya CDM. naona huyo kiongozi wa CCK anataka kufufuka kupitia agennda hii lakini ajue kufa amekwisha kufa anasubiri kuzikwa na mfu mwenzie CCM.
 
CHADEMA ni kama taifa la marekani, hata OSAMA alipiga marekani akitaka kujulikana zaidi.CCK hana pa kutokea kuitisha mkutano wa nwananchi nigharama anao uwezo??? zaidi lazima apitie mgongoni mwa CDM

Ume hit the point. Nimekuwa nikirudia na kurudia humu jukwaani. Inaonekana sasa ili watu wapate attention kwenye media mbali mbali basi topic inakuwa ni Chadema(hata kama ni baseless na pointless kama huyu jamaa). Very sadenning.
 
nngu007 Jamani hv hyo viti vya nyumba si vya bar..?
mbona mazingira yenyewe kama ya bar.?
Ina maana hawa CCK hawana ofisi?

Hakuna OFISI; Mwangalie Katibu Mkuu jinsi alivyo choka... Mikono Imekwaruzika... na NI BAA za Uchochoroni
 
Back
Top Bottom