Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
Maswali yako yanaonyesha kuwa wewe ni mshirika ni mjumbe au ni mmoja wa wanachedema ambaye unahudhuria vikao,naweza kuuliza swali kama haya yote uliyaona kwenye vikao vyenu kwamba Dr slaa na Tundu Lissu ndio walikuwa wanashinikiza baadhi ya maamuzi ndani ya chama au kwa wabunge sasa kwa nini hamkuyamaliza kwenye vikao vyenu badala ya kuleta kwenye jamvi lakini kama huhudhurii vikao vya wanachadema ni kwa vipi utatuthibitishia kwamba unachofanya si damage control ili kumsave rafiki yako Zitto aliyepoteza heshima kwa ajili ya undumila kuwili kwa kwa sababu ya kwenda kinyume na makubaliano ya wabunge wote ambapo hata yeye alikubaliana nayo
si ni huyu anayekusimulia hatua zote zilivyokuwa kwenye hivyo vikao nawewe unamwaga hapa kwa njia ya maswali ukweli unabaki pale kwmba rafiki yako Zitto na nilikuomba siku nyingine umwambie hawafanyii viongozi uharibifu bali hata chama chake na sisi wafuasi wao tunnathirika kwa jinsi Zitto anavyotaka kujisafisha kupitia watu kama wewe
Zitto is another mada, wacha kuchanganya stick to what is on the topic, mambo ya Zitto yanaendelea kujadiliwa, sasa unataka Dr Slaa ajibu maswala wanayoongea na Zitto? ili iwaje? nyie wanadamu bana Dr. Slaa ana heshima kubwa kuja hapa na kujibu maswali kiuwazi na kusema
almost mswali ya msingi alioulizwa, ww unaliza Zitto, mm ni mtu wa hasira kidogo hata ww kama ni mwanamke nitakuchapa mboko, Dr slaa ajibu watu wangapi? use common sense, plse respect
don't use freedom of expression as a reason/ guard kuuliza hata ukoko, Zitto hatutaki mada zake tena hadi wazee wamshughulikie, period