CHADEMA sasa TUJIPANGE kutoa MAONI kwenye TUME ya KATIBA

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Wana CDM wenzangu, napenda kutoa ushauri kwa viongozi wetu wa chama na wabunge wetu CDM kuwa tumshukuru rais wetu KIKWETE kwa kukubali kuunda katiba mpya. Tunachotakiwa hivi sasa ni kujipanga namna ya kutoa MAONI yetu katiba iweje. Tusianzishe vurugu wala kuzusha mengine. Lazima tukubali kuwaweka sawa baadhi ya viongozi wetu wa chadema na wabunge kuhusu katiba, kwani wanatabia ya kutafuta SIFA BINAFSI ili wapate kuchaguliwa lakini tunaoumia ni sisi wananchi. Vinginevyo tutaonekana ni watu wa VURUGU.
 
chadema hata wanachokitaka kwenye hio katiba wanacho?

hawa watu wa kudandia tu

hata wao kama chama wanafata mrengo gani hawajui, hawajijui kama ma capitalist au masocialist au liberal au?

hawajifahamu ni chama cha wehu watupu, na ukiwa si mwehu unashtuka mapema mfano zitto na shibuda
 
Hapo ndipo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri au bado unaendelea................tusubiri.
 
Wana CDM wenzangu, napenda kutoa ushauri kwa viongozi wetu wa chama na wabunge wetu CDM kuwa tumshukuru rais wetu KIKWETE kwa kukubali kuunda katiba mpya. Tunachotakiwa hivi sasa ni kujipanga namna ya kutoa MAONI yetu katiba iweje. Tusianzishe vurugu wala kuzusha mengine. Lazima tukubali kuwaweka sawa baadhi ya viongozi wetu wa chadema na wabunge kuhusu katiba, kwani wanatabia ya kutafuta SIFA BINAFSI ili wapate kuchaguliwa lakini tunaoumia ni sisi wananchi. Vinginevyo tutaonekana ni watu wa VURUGU.

Its not healthy kuwa mnafiki na unafanya unafiki ukijua kabisaaaaaa,toa hoja tu kwamba chadema wajiandae kutoa maoni yao but hujawahi kuwa mwana chadema and never will you be young boy
 
Mama anaposhikishwa MIMBA huku ana kwikwi, mtoto utamfahamu tu hata anapoandika.

Charityboy ni CHADEMA? Kweli Mtume alikuwa Mkristo.

chadema hata wanachokitaka kwenye hio katiba wanacho?

hawa watu wa kudandia tu

hata wao kama chama wanafata mrengo gani hawajui, hawajijui kama ma capitalist au masocialist au liberal au?

hawajifahamu ni chama cha wehu watupu, na ukiwa si mwehu unashtuka mapema mfano zitto na shibuda
 
chadema hata wanachokitaka kwenye hio katiba wanacho?

Hawa watu wa kudandia tu

Hawajifahamu ni chama cha wehu watupu, na ukiwa si mwehu unashtuka mapema mfano zitto na shibuda

wewe kweli mtu wa pwani, fanya tafiti kabla ya kuandika-
1. Katiba mpya ni sehemu ya ilani ya chadema 2011 to 2012 hakuna chama kingine chochote cha kisiasa kililiona hili au vipofu?
2. Chadema haikurupuki ni chama makini hufanya kazi kwa umakini saana. Ni chama kilichojaa wanasheria na wasomi mbalimbali, chadema ina kanuni ya kutumia specific think tankers katika masuala muhimu.
3. Fika makao makuu ya chadema utajua wanafuata mrengo gani,
4. Chadema ni tasisi iliyojitosheleza wameshakamilisha rasimu na muda wowote itasambazwa kwa uelewa zaidi
2
 
Wana CDM wenzangu, napenda kutoa ushauri kwa viongozi wetu wa chama na wabunge wetu CDM kuwa tumshukuru rais wetu KIKWETE kwa kukubali kuunda katiba mpya. Tunachotakiwa hivi sasa ni kujipanga namna ya kutoa MAONI yetu katiba iweje. Tusianzishe vurugu wala kuzusha mengine. Lazima tukubali kuwaweka sawa baadhi ya viongozi wetu wa chadema na wabunge kuhusu katiba, kwani wanatabia ya kutafuta SIFA BINAFSI ili wapate kuchaguliwa lakini tunaoumia ni sisi wananchi. Vinginevyo tutaonekana ni watu wa VURUGU.

Katiba mpya haiwezi kamwe kupatikana kwa njia ya tume ya Tume ya Kikwete ya kurekebisha katiba (Kikwete Constitutional Review Commission) sasa sana kitakachopatikana ni katiba iliyochakachuliwa na hiyo tume kwa usimamizi wa CCM. Tumeshuhudia tume zinazoundwa na Raisi hapa Tanzania zinavyofanya kazi na mifano yake ni mingi tangu wakati wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi. Kinachotakiwa ni Bunge la Katiba (Constitutional Assembly) ambayo inatokana na makubaliano kati ya serikali, Bunge, wadau mbalimbali na wananchi kwa ujumla wao. Nafikiri huu ndio msimamo wa Chadema kama ilivyoelezwa katika ilani yao ya Uchaguzi na kamwe si kwa hisani ya Raisi Jakaya Kikwete kama unavyotaka kutuaminisha. Katiba ni ya wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na pendekezo lako lakuumbua kuwa wewe huwezi kuwa mwana Chadema bali ni ukoo wa mafisadi wanaolitafuna taifa.
 
chadema hata wanachokitaka kwenye hio katiba wanacho?

Hawa watu wa kudandia tu

hata wao kama chama wanafata mrengo gani hawajui, hawajijui kama ma capitalist au masocialist au liberal au?

Hawajifahamu ni chama cha wehu watupu, na ukiwa si mwehu unashtuka mapema mfano zitto na shibuda

ccm mchonganishi. Hata kama hayakuhusu kamwambie makamba
 
chadema hata wanachokitaka kwenye hio katiba wanacho?

hawa watu wa kudandia tu

hata wao kama chama wanafata mrengo gani hawajui, hawajijui kama ma capitalist au masocialist au liberal au?

hawajifahamu ni chama cha wehu watupu, na ukiwa si mwehu unashtuka mapema mfano zitto na shibuda

Hivi CCM kwa sasa wanafuata siasa za UJAMAA NA KUJITEGEMEA au wako katika KUFUATA MFUMO WA KIBEPARI???????
 
Back
Top Bottom