CHADEMA sasa kuingia Milton Keynes! Kama una dongo lilete tulirushe

Kweli nimeamini kukaa nje sio kwamba ndio tajiri wa fikra, ningependa kujua hili tangazo limetayarishwa kweli na watu wa britain? kwani halina mvuto na wamejaza maneno bila ya kuwa na theme ya mkutano huo ni nn tofauti na mikutano hii ya bongo. Nina wasiswasi hawa walio andika hili si wajuzi wa matangazo ni bora mkatafuta watu makini kwani ni profession pia
 
Kama huelewi maana tuambie tukuelimishe , najua hata wewe ukielewa maana utaungana nasi

Sasa chris ooops chilisosi, mimi sidhani kama watanzania hawajui mafisadi ni wakina nani ila tumechoka hizi siasa za kutaja halafu hamna kinachoendelea ili mradi kuwa na umaarufu tu mimi nilitaja kitu fulani. Halafu jenga tabia ya kujibu hoja.
 
ulitaka nikujibu vipi?
Mtu anagombea nafasi then mnamwita ajitoe Iyo nafasi anayogombea Iyo Ndio Demokrasia ..mngemuacha tu ashindane na mwenyekiti alokuepo lakini Demokrasia ikawashinda ilo dogo tulimewashinda je sisi walalahoi tutaipata Iyo Demokrasia mkiingia madarakani..sijui Kama mtakua na tofauti na CCM mnachopigania sasaivi ni nafasi ya kula Kama CCM tu..sijaona mabadiliko yoyote ya maana yalofanyika Africa kuondoa vyama vilivyopo madarakani kuanzia Kenya ,zambia,Malawi ,na kwengineko...
 
Sasa chris ooops chilisosi, mimi sidhani kama watanzania hawajui mafisadi ni wakina nani ila tumechoka hizi siasa za kutaja halafu hamna kinachoendelea ili mradi kuwa na umaarufu tu mimi nilitaja kitu fulani. Halafu jenga tabia ya kujibu hoja.
Tunahitaji mabadiliko ya kweli na huru katika nchi yetu.
Tunataka watu wawe na haki sawa
Kazi yetu ni kuleta demokrasia ya kweli na huru
Kumpa nafasi kila mtanzania kulitumikia taifa lake bila kujali dini, kabila au background yake
Kumaliza mafisadi
Ukitaka kujua mengi tafadhali tembelea
http://www.chadema.or.tz/
SSI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI CCM
 
Tunahitaji mabadiliko ya kweli na huru katika nchi yetu.
Tunataka watu wawe na haki sawa
Kazi yetu ni kuleta demokrasia ya kweli na huru
Kumpa nafasi kila mtanzania kulitumikia taifa lake bila kujali dini, kabila au background yake
Kumaliza mafisadi

Je hamkupata slogan ya kiswahili zaidi ya hii (MOVEMENT FOR CHANGE) kubeba huo ujumbe hapo juu kusaidia wasiojua lugha ya kiingereza, kama hiyo slogan ya sisi sote ni ndugu,tatizo ni ccm.
 
Je hamkupata slogan ya kiswahili zaidi ya hii (MOVEMENT FOR CHANGE) kubeba huo ujumbe hapo juu kusaidia wasiojua lugha ya kiingereza, kama hiyo slogan ya sisi sote ni ndugu,tatizo ni ccm.
Ok suggest ulitaka iitweje?
 
Kweli nimeamini kukaa nje sio kwamba ndio tajiri wa fikra, ningependa kujua hili tangazo limetayarishwa kweli na watu wa britain? kwani halina mvuto na wamejaza maneno bila ya kuwa na theme ya mkutano huo ni nn tofauti na mikutano hii ya bongo. Nina wasiswasi hawa walio andika hili si wajuzi wa matangazo ni bora mkatafuta watu makini kwani ni profession pia
Haliwezi kuwa na mvuto kwako kwa sababu wewe ni gamba na chadema wanakukosesha usingizi
 
Nendeni mkakumbane na waliojiripuwa. Wazanzibari Wasomali kibao hapo.
 
Chilisosi,
Milton Keynes nyumbani hapo bahati mbaya nipo bongo ningekuwa UK ningekuja kuangalia Makamanda lakini ninavyoijua Milton Keynes, maeneo ya Bletchley, Bradwell, Loughton, Whaddon, na maeneo mengine Watanzani wengi wamejiripua. Sijui kama mtapata watu.
Ritz
Kutakuwa na usafiri wa kutoka bongo pia, unakaribishwa
 
Ile siku iliyokuwa inasubiriwa sasa inakaribia.
Habari zilizothibishwa ni kwamba kutakuwa na madongo mazito mawili yatakayorushwa siku ya jumamosi.
Ni wakati wa kuwaumbua mafisadi na kuwataja hadharani.
Ushahidi mzito utatolewa hadharani.

Pia Kutakuwa na ugeni kutoka ambao ni viongozi mbali mbali wa mikoa.

Pia kwenye mkutano huo wanachama wapya watatambulishwa rasmi na kupewa kadi zao.
Njooni tuungane kwenye harakati hizi za ukombozi

BORA MWIZI WA KUKU KULIKO FISADI

MILTON%2B1.png
 
Hapo kwenye suala la muda KILAZA Mh TEnda akiona atasema hairuhusiwi mkutano mpaka sa tatu usiku,maana akili zake zote zipo kwenye kuipigania roho ya CHAMA CHA MABWEPANDE ikaribiayo kufa.
 
Hapo kwenye suala la muda KILAZA Mh TEnda akiona atasema hairuhusiwi mkutano mpaka sa tatu usiku,maana akili zake zote zipo kwenye kuipigania roho ya CHAMA CHA MABWEPANDE ikaribiayo kufa.
Hao wasikuumize kichwa mkuu, ni suala la muda tuu, jamaa wanaogopa sana vuguvugu la mageuzi
 
Kazi kwelikweli.....unaamini hao wote wamekufa kwasababu hakuna demokrasi nchini mwao,hiyo slogan ya M4C kulikuwa hamna ya kiswahili au ndio kama kawaida yetu watanzania copy and paste maana siamini kama vijijini wanaelewa.
Mkuu, vijijini wanaelewa vizuri na wameipenda sana M4C, mbona walielewa vizuri habari ya TANU (Tanganyika african national union)na wakati huo wasomi walikuwa wachache? au hujui kuwa TANU ni kiingereza pia?
 
Back
Top Bottom