CHADEMA sasa kuingia Milton Keynes! Kama una dongo lilete tulirushe

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
MKUTANO WA CHADEMA MILTON KEYNES...!!!
539488_107985962686880_745383572_n.jpg

BAADA YAKUISAMBARATISHA CCM READING, WIMBI LA MABADILIKO YA LAZIMA SASA KUUNGURUMA MILTON KEYNES

m4c+frm+blog.jpg

TAWI LA UK

TUNAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO MILTON KEYNES NA MIJI YA JIRANI

KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO UTAKAOFANYIKA

TAREHE 15/09/2012 KUANZIA SAA SABA MCHANA MPAKA SAA KUMI NA MBILI JIONI

TUTAWAJULISHA BAADAE KUHUSU UKUMBI

MNAKARIBISHWA MJIUNGE NA HARAKATI ZA KUENEZA DEMOKRASIA YA KWELI NA HURU NCHINI KWETU

HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE

SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM

Kutakuwa na usafiri kutoka London na Reading

REFRESHMENTS WILL BE AVAILABLE

kwa taarifa zaidi, tafadhaliwasiliana na wafuatao:-

Mwenyekiti: Mr CHRIS LUKOSI - 07903828119

&

Mwakilishi wa Reading: Mr GERALD LUSINGU - 07440745563

PEOPLE'S POWER!
Kesho ndio ile siku wengi wameisubiri,

Mkutano utaanza saa kumi jioni na habari njema ni kwamba mkutano utafunguliwa kwa kisomo kutoka kwa sheikh na sala kutoka kwa mchungaji

Hii ni kwa ajili ya kudumisha umoja na kuliombea taifa letu amani.

Tunaipenda nchi yetu

tangazo+la+milton+keynes+4.png
 
raha ya UK ni kwamba CCM hawawezi kumtuma IGP kwenda kuua wafuasi wa cdm...huko MK mkutano utafanyika kwa amani bila vurugu yoyote...i wish nchi yetu ingekua kama UK bt again wishful thinkin
 
Mkuu huku kuna demokrasia ya kweli na huru. Uhuru wa kuongea na uhuru wa kukosoa
 
Sasa kama tuna uhuru mbona kuna machafuko ka tuliyo nayo? Unajua hakuna siku hata moja uk au US watu watanyimwa kufanya maandamano hata siku moja sasa kwann huku kwetu maandamano au mikutano inazuiwa? Leo hii tunasikia obama anatukanwa live kwenye tv bt husikii huyo amekamatwa au kapelekwa mabwepande bt tukana rais hapa unakamatwa au unapelekwa mabwepande... Bull shyt
 
Mkuu sie huku UK hakuna mabwepande na ndio maana tunataka bongo iwe hivyo.
Hata wakifanya nini lakini mwisho wao u karibu sana
Si unakumbuka Egypt???
Kuna kiongozi alikuwa na ulinzi kama ghadafi?, Mubarak??
Wako wapi sasa
 
Dah if nyololo iringa was milton keynes, the d. Mwangosi family would have their husband and father!!! Poor tanzania, we pray for you our beloved country
 
Sisi sote ni ndugu tatizo ni CCM!!! M4c with no apology!!!!!!
 
Mkuu sie huku UK hakuna mabwepande na ndio maana tunataka bongo iwe hivyo.
Hata wakifanya nini lakini mwisho wao u karibu sana
Si unakumbuka Egypt???
Kuna kiongozi alikuwa na ulinzi kama ghadafi?, Mubarak??
Wako wapi sasa

Kazi kwelikweli.....unaamini hao wote wamekufa kwasababu hakuna demokrasi nchini mwao,hiyo slogan ya M4C kulikuwa hamna ya kiswahili au ndio kama kawaida yetu watanzania copy and paste maana siamini kama vijijini wanaelewa.
 
Sasa hapa kwenye uzi unasema kama kuna dongo tulete ulirushe,nini madhumuni ya mkutano huo majungu au?
 
Wewe utayaita majungu lakini sisi tunaita kufichua mafisadi kwa manufaa ya umma.
Kama umeharibu jua kwamba Chadema haitakuacha tutakuumbua
 
Kazi kwelikweli.....unaamini hao wote wamekufa kwasababu hakuna demokrasi nchini mwao,hiyo slogan ya M4C kulikuwa hamna ya kiswahili au ndio kama kawaida yetu watanzania copy and paste maana siamini kama vijijini wanaelewa.
Kama huelewi maana tuambie tukuelimishe , najua hata wewe ukielewa maana utaungana nasi
 
Chilisosi,
Milton Keynes nyumbani hapo bahati mbaya nipo bongo ningekuwa UK ningekuja kuangalia Makamanda lakini ninavyoijua Milton Keynes, maeneo ya Bletchley, Bradwell, Loughton, Whaddon, na maeneo mengine Watanzani wengi wamejiripua. Sijui kama mtapata watu.
 
Last edited by a moderator:
Chilisosi,
Milton Keynes nyumbani hapo bahati mbaya nipo bongo ningekuwa UK ningekuja kuangalia Makamanda lakini ninavyoijua Milton Keynes, maeneo ya Bletchley, Bradwell, Loughton, Whaddon, na maeneo mengine Watanzani wengi wamejiripua. Sijui kama mtapata watu.
wamejilipua?? ina maana wote ni wana CCM? funguka mkuu
 
Chilisosi,
Milton Keynes nyumbani hapo bahati mbaya nipo bongo ningekuwa UK ningekuja kuangalia Makamanda lakini ninavyoijua Milton Keynes, maeneo ya Bletchley, Bradwell, Loughton, Whaddon, na maeneo mengine Watanzani wengi wamejiripua. Sijui kama mtapata watu.
RITZ
Mbona umekuwa negative hivyo mdogo wangu?
wee njoo uchukue kadi yako kamanda
 
Mkuu sie huku UK hakuna mabwepande na ndio maana tunataka bongo iwe hivyo.
Hata wakifanya nini lakini mwisho wao u karibu sana
Si unakumbuka Egypt???
Kuna kiongozi alikuwa na ulinzi kama ghadafi?, Mubarak??
Wako wapi sasa
Demokrasia ingeanzia kwenye chama chenu kwanza ivi ilikuaje mkamuengua zitto kugombea nafasi ya mwenyekiti si mngeacha Demokrasia ifanye kazi yake.mkashindwa sasa sisi wananchi wa kawaida mtatupa kweli?!
 
Tunajua moja ya kazi ya magamba ni kutugawa,
Hatugawanyiki
 
Back
Top Bottom