Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,609
Kama kumbukumbu zangu ziko sawasawa, Zitto Kabwe alisimamishwa bunge enzi za mzee wa speed and standards, Zitto kama sacrifice alizidisha awareness za watu juu ya uwajibikaji katika serikali na kuwa na muono mwingine juu ya siasa za vyama vingi. Matokeo yake CHADEMA ikaongeza wabunge kwa zaidi ya 500% katika uchaguzi wa 2010.
Sasa bahati nzuri G Lema kaondolewa ubunge na mahakama naye ni sacrifice, hebu tusubiri matokeo nadhani yatalipa zaidi ya wakati wa Zitto, kwa kuwa Zitto sacrifice yake tayari ilibadirisha mtazamo wa watu, hii ya Lema, my opinion itakuja na upepo wa kisurisuri! Nadhani mambo yameisha anza hebu tusubiri muda kidogo, say mwezi mmoja kuanzia sasa.
Naona kwa mtazamo wangu Thread hii itakumbukwa baada ya muda huo kufikia.
Nawasilisha.