CHADEMA Pwani

mkoa wa pwani lindi mtwara tanga wengi wao vichwa ngumu hata uwachemshe na magadi hawalainiki, ila taabu zikiendelea watafunuka............. ccm haitaweza kuwadanganya milele iko siku danganya yao itafika mwisho. ILA WATU WA PWANI FUNGUKENI ACHENI KULALA LALA HAWA CCM WATAWAKAMEROOOOOOOOOOON

crap.
toa hoja, sio matusi.
thibitisha madai yako, sio kuongea mabo hayana msingi.
 
Asili ya watu wa pwani pamoja na deen zao lazima watakuwa mashabiki wakubwa wa chama cha KAFU aka chama cha marafiki wa Alshaabab

alshabab ni neno la kiarabu linamaanisha vijana .... shukran kwa kuisifia cuf kutokana na ulimbukeni wako... ila you are right about one thing watu wa pwani asilimia kubwa ni waislam ndio maana chadema kamwe haitokuja kufanya juhudi zozote ikubalike since ni chama cha kanisa
 
kwa nini hatusikii maandamano na mwamko wa CHADEMA mikoa ya Pwani? CHADEMA inaonekana iko very active mikoa ya KANDA YA KASKAZINI, ZIWA NA KANDA YA JUU KASKAZINI

Pwani inajumuisha:

BAGAMOYO
KIBAHA VIJIJINI
KIBAHA MJINI
KISARAWE
RUFIJI
MKURANGA
MAFIA

Kwa sababu kimaendeleo hawa ndio wako nyuma kuliko eneo lolote lile Tanzania na ingekuwa wepesi zaidi kwa watu wa mikoa hii kuamka na kuanza kulalamika juu ya serikali au tuseme kuwa watu wa PWANI hawana muda na CHADEMA?

Hivi statistically kwenye elections zilizopita CHADEMA ilipata asilimia ngapi Pwani na wilaya zipi ilishinda kwa wingi kati ya hizo hapo juu?

wanaamin ni chama cha kikafir na wenyewe ni wachaga
 
mkoa wa pwani lindi mtwara tanga wengi wao vichwa ngumu hata uwachemshe na magadi hawalainiki, ila taabu zikiendelea watafunuka............. ccm haitaweza kuwadanganya milele iko siku danganya yao itafika mwisho. ILA WATU WA PWANI FUNGUKENI ACHENI KULALA LALA HAWA CCM WATAWAKAMEROOOOOOOOOOON

koma,sis co malimbuken kama wachaga walaf wa madaraka,ck zote jua linatoka mash kwa waliokuja na taa moja ha2washangai
 
watu wa pwani elimu ndogo wanachukua muda mrefu kutafakari jambo ndio aana nyerere alitoka bara kaamia dar 1953 akachukua uhuru mikononi mwao

Mkoa pekee TZ ambao upinzani umeota miziz ni KIGOMA; Kigoma upinzani unafanya vizuri kila wakati kuliko huko Kilimanjaro na Arusha!!! je Kigoma kuna wasomi gani kule?! Kule manyara kuna wasomi gani?! Ngoja nikuambie kuhusu watu wa pwani.....hawa watu wana misimamo na hadanganyiki kwa mambo ya kijinga. CHADEMA haijawahi kufanya lolote kuhusu mikoa ya pwani.....then unatarajia watu waipende CHADEMA kwa kuisikia redioni?! Watu wa pwani c wapumbavu kiasi hicho?! Look, CHADEMA waliingia na mbembwe za kufanya maandamano nchi nzima....ni mkoa gani wa pwani waligusa?! Then, unatarajia watu wa pwani bado wawe na fagio na CHADEMA kv tu wanaruka na hekikopta kwenye kampeni zao.....we're not tht fools!!! Nimeshawahi kuongea humu ndani; kijiji changu ni miongoni mwa vijiji vikubwa kabisa mkoani Lindi....ni kijiji chenye uwezo wa kubadilisha matokeo ya ubunge....lakini kijiji kile hamna hata ofisi ya CHADEMA; then unatarajia watapoteza muda kwa CHADEMA? Kwa lipi?! Kwa kusikia tu kwamba sijui kuna Dr. Slaa au Zitto?! pyuuu, sie hatuna mafagio ya kipumbavu kiasi hicho! Mbona Lipumba alipopiga kambi Lindi aliweza kunyakua majimbo mawili?! Au kwako upinzani ni CHADEMA peke yake?! Acha upumbavu wa kudharau wenzako, kabla hujaona kwamba pwani hawana elimu; jaribu kwanza kuangalia kwenye ukoo wenu kuna wangapi wameenda shule!!!! In short, watu wa pwani (ingawaje mtoa mada amechanganya...cjui amemaanisha nini manake anachanganya kati ya mkoa wa pwani (kwa kutaja wilaya zake) na mkoa wa pwani!!) hawana sababu ya kumbabakia mtu ambae hata sura yake hawaijui.....CHADEMA wakienda mikoa ya pwani watapata tu ufuasi lakini usitarajie kwamba wapate ufuasi wakati wenyewe hawaoneshi nia hiyo.....wajuzi wa mambo wanasema HERI YA SHETANI UNAYEMJUA KULIKO MALAIKA USIYEMJUA! Kama CCM ni shetani, watu wa pwani wanamfahamu shetani huyo na kama CHADEMA ni malaika, watu wa pwani hawamjui malaika huyo mbali na kumsikia.....

ukweli ni kwamba chadema kina udini na ndio maana hawafiki huko kwa waislam wengi na pia watu wa pwani ni wastaarabu siasa za vurugu za watu wa bara kwao hazina tija.
Roho ya udini na ukabila inakusumbua mno ila ukitubu kwa kumaanisha kuikataa itakuondoka Mungu akuponye maana hujui madhara yake kwa taifa Angalia NIGERIA mkuu
 
ukweli ni kwamba chadema kina udini na ndio maana hawafiki huko kwa waislam wengi na pia watu wa pwani ni wastaarabu siasa za vurugu za watu wa bara kwao hazina tija.
Ustaarabu gani mkuu? kucheza ngoma na kunywa kahawa vibarazani ndo ustaarabu! Mie nadhani kinachowasumbua watu wa pwani ni ukosefu wa elimu na exposure.
 
igunga cdm ilikuwa haijulikana watukule walikuwa wanajua cuf na ccm . Hembu check uchaguzi uliopita cuf na ccm jasho la kwapani hadi mku--ni liliwatoka
 
majimbo uliyoyataja sikuhizi wamejaa wachaga ... wenyeji wa pwani siasa uchwara za vurugu hawafagilii

Kama wachaga wameweza kuhamia hayo maeneo ya pwani na ku-change demographic ya maeneo unayoyasema basi wachaga ni noumer wataweza basi kufanya chochote. Umewapa promo kubwa sana wachaga bila wewe kujua hayo maujanja nilidhani wanayaweza wayahudi tu kumbe hata wachaga! loh......poor magamba
 
Roho ya udini na ukabila inakusumbua mno ila ukitubu kwa kumaanisha kuikataa itakuondoka Mungu akuponye maana hujui madhara yake kwa taifa Angalia NIGERIA mkuu

what did you expect kwamba ningekaa & watch watu wakitu kashifu watu wa pwani kwenye hii thread kuna vitu ambavyo siwezi kuvumilia hata kidogo mtu akashifu DINI YANGU NA ASILI YANGU.... kwanza Maneno haya ungewambia viongozi wa CHADEMA ....

Ustaarabu gani mkuu? kucheza ngoma na kunywa kahawa vibarazani ndo ustaarabu! Mie nadhani kinachowasumbua watu wa pwani ni ukosefu wa elimu na exposure.

haha kunywa kahawa vibarazani dogo hilo ama ulitaka tunywe pombe ndio tuonekane wastaarabu... sasa nyie wabara hiyo exposure mwaipata wapi zaidi ya kukimbia huko milimani na kuja pwani kupata hiyo exposure .... mzee wenu nyerere alijua wazi watu wa pwani ni wajanja na wanaakili kuliko wa bara basi akaja wanyima elimu.. ndio maana ukikuta mtu wa pwani amebahatika kusoma basi uwezo wao wa kufikiri changanya wako + watu wa bara 5

igunga cdm ilikuwa haijulikana watukule walikuwa wanajua cuf na ccm . Hembu check uchaguzi uliopita cuf na ccm jasho la kwapani hadi mku--ni liliwatoka

igunga ni pwani...?

Kama wachaga wameweza kuhamia hayo maeneo ya pwani na ku-change demographic ya maeneo unayoyasema basi wachaga ni noumer wataweza basi kufanya chochote. Umewapa promo kubwa sana wachaga bila wewe kujua hayo maujanja nilidhani wanayaweza wayahudi tu kumbe hata wachaga! loh......poor magamba

wachaga ni waharibifu.. wametuletea ustaarabu mchafu wa kunywa pombe na kufuga nguruwe , kutujengea makinisa hakuna walichafanya pwani.. hivi kwanini hawatulii kwao.. leo hii tanga wamejaa tele.. hivi huko kwenu ni maskini kiasi hicho hadi mwaenda pwani kutafuta

Masikini Jeuri? Utawashawishi wazee waliokuwa wakikunja 'Mizigo yao' kwenda Kwa mbunge wa lindi kupanga foleni ya kahawa jioni?
 
CHADEMA haijawahi kufanya lolote kuhusu mikoa ya pwani.....then unatarajia watu waipende CHADEMA kwa kuisikia redioni?! Watu wa pwani c wapumbavu kiasi hicho?! Look, CHADEMA waliingia na mbembwe za kufanya maandamano nchi nzima....ni mkoa gani wa pwani waligusa?

We unaishi Lindi Gani? Kijiji Kipi ..Kule kwa Wavuna nazi...au walima Mihogo? Au Nyangao kwa Wavuna Maembe? Katika kutembea kwangu sijawahi kuona watu Masikini/fukara kama wa Lindi..Si Nachingwea wala Lindi Vijijini, wala si Kilwa Kivinje.....Shida tupu, japo ndo kwao mama Mkulukulu. Watu wa Lindi na mikoa mingine ya Pwani ni wa******* sana maana kama ni Umasikini ni wa kwao, Magonjwa sasa yanashika Kasi! Nimefanya kazi mkoa wa Lindi kwa Mfano nimezunnguka maeneo hata ambayo wewe unayejiita wa Lindi hujawahi kufika, Unapahamu Kilimarondo? Ambako nyumba nyingi hazina vigezo vya kuitwa nyumba ila zina mabango ya Chagua CCM. Watu wa Pwani wamekariri CCM na Uislamu, Ndiyo wanaoongoza kwa malalamiko ya Udini! Kila kitu wao hukimbilia Udini! Shule wengi hawana hata wakipata nafasi wengi hawafanyi vizuri....Najua Unaweza kunilaumu but najitoa mhanga kama Lissu na katiba! Kama Nchi hii itafanya Mapinduzi ,tusitarajie chochote cha maana toka mikoa ya Pwani. Alivyokuja Slaa pale Lindi walikuja wengi Uwanjani lakini kura...Unafiki mtupu!
 
ukweli ni kwamba chadema kina udini na ndio maana hawafiki huko kwa waislam wengi na pia watu wa pwani ni wastaarabu siasa za vurugu za watu wa bara kwao hazina tija.

ni kweli kama wazanzibar..hahahahaha
 
nasdaz naungamkono bandiko lako hapo kwa mara ya kwanza naomba nikubaliane na wewe kuwa chadema bado haijafanya bidii ya kujitangaza huko na siku ikifanya hivyo naamini itakuwa na wafuasi tena wengi tu..
 
Dar kwa ujumla wake ukiondoa kwa Mnyika na Mdee, inaonekana Dar hali ya maisha imebana sana hawana muda wa kujishughulisha na mageuzi zaidi ya kufukuzia mkate wa siku. Kama Dar wameshindwa kanda zingine zinasubiri viongozi wa CDM watangaze Benghazi ya Bongo rasmi tuanze kukichafua!
ushindwe mpenda vurugu mkubwa we,toka zako huko.
 
kwa nini hatusikii maandamano na mwamko wa CHADEMA mikoa ya Pwani? CHADEMA inaonekana iko very active mikoa ya KANDA YA KASKAZINI, ZIWA NA KANDA YA JUU KASKAZINI

Pwani inajumuisha:

BAGAMOYO
KIBAHA VIJIJINI
KIBAHA MJINI
KISARAWE
RUFIJI
MKURANGA
MAFIA

Kwa sababu kimaendeleo hawa ndio wako nyuma kuliko eneo lolote lile Tanzania na ingekuwa wepesi zaidi kwa watu wa mikoa hii kuamka na kuanza kulalamika juu ya serikali au tuseme kuwa watu wa PWANI hawana muda na CHADEMA?

Hivi statistically kwenye elections zilizopita CHADEMA ilipata asilimia ngapi Pwani na wilaya zipi ilishinda kwa wingi kati ya hizo hapo juu?
Pwani hatutaki ujinga wa maandamano na kuacha shughuli zetu za kupiga mahela,inshort hatutaki siasa uchwara.
 
alshabab ni neno la kiarabu linamaanisha vijana .... shukran kwa kuisifia cuf kutokana na ulimbukeni wako... ila you are right about one thing watu wa pwani asilimia kubwa ni waislam ndio maana chadema kamwe haitokuja kufanya juhudi zozote ikubalike since ni chama cha kanisa

Mi natoka pwani, mlamleni kama wapafahu somwhere mkuranga..CHADEMA kwenda mbele inapeta kwa sana, tumesoma,tumeelimika ukweli tumeujua.! PIPOOZ POWEEER.!
 
Back
Top Bottom