CHADEMA predicted a dictatorship regime if elected 2015. Know Why?

Ha ha ha haaaaaaaa! I have noted a thing here that for the sake of reducing the number of contributers, bring the topic to discuss IN UNG'ENG'E altenatively called English. Hapo baaaaaaasi. Utaona watu meno yanavyogongana, macho yanavyokodolea screen ya pc muda mrefu. Sentensi na maneno zinavyoandikwa na kufutwa mara hamsini hamsini. Kaaaaaaazi kwelikweli!
 
Hili si suala la CHADEMA tu na vyama vingine vyote na wapenda maendeleo wote kilio chao ni kimoja. IGP Mahita siku moja kabla ya uchaguzi mkuu 2005 alisema CUF imeleta visu na majambia ya kuulia watanzani? Bado huamini kuwa polisi inatumika? Mrema mikutano na misafara yake mwaka 2015 ilipigwa mabomu kila mahali, lakini ya CCM ilikuwa shwari kabisa!.. Hali hii iliendelea hadi 2010, kwa macho yangu nimeona mabomu ya machozi yakipigwa kuanzia Ruanda Nzovwe hadi Mwanjelwa kutawanya wafuasi wa CDM baada ya Dr. kufunga mkutano wake wa kampeni? Kwa Kikwete hali ikawa Shari! HUU NI UHUNI, na anayetetea ni MHUNI!

Yaani Tenende umejaribu kufafanua jambo fulani tu ndani ya hoja yangu lakini hujatoa maoni yako juu ya nini kifanyike ili kuleta harmony kati ya cdm na dola. Kubali usikubali cdm itatakiwa kufanya kazi na dola hii hii ambayo leo inaiona haifai. Usalama hao hao ndiyo watailinda cdm. So changia namna ya kufanya.
 
Pukudu

Nina shaka na wema wa cdm kiasi kwamba ibadilishe mfumo kwa maslahi ya wapinzani wao!
 
Last edited by a moderator:
We still, in the move, witnessed the party's struggle to weaken the power of the law through illegal demonstrations, workers strikes with oppositions political face, uttering ambiguos statements aiming at instigating insecirity etc.

Siamini kama wewe unaongea mambo haya ukiwa Tanzania? Hiyo "we... witnessed" mmeshuhudia wewe na nani? Ni wapi ambako CDM imefanya mikutano au maandamano bila kutoa taarifa polisi? Au na wewe unashabikia ujinga wowote unaouona? Ni tamko gani tata lililohatarisha usalama?
 
MKALIMOTTO

Mkuu umefanya proof reading ya hii kitu, ipange vizuri kidogo halafu kama contents na heading haviendani.
 
Last edited by a moderator:
My friend ukienda shule za mjini Dar kama vile Loyola na kusema, "Nimemwaga UNG'ENG'E!" watakachoelewa ni kwamba wewe ume"pass" wind au umepumulia chini!.

Ha ha ha haaaaaaaa! I have noted a thing here that for the sake of reducing the number of contributers, bring the topic to discuss IN UNG'ENG'E altenatively called English. Hapo baaaaaaasi. Utaona watu meno yanavyogongana, macho yanavyokodolea screen ya pc muda mrefu. Sentensi na maneno zinavyoandikwa na kufutwa mara hamsini hamsini. Kaaaaaaazi kwelikweli!
 
Siamini kama wewe unaongea mambo haya ukiwa Tanzania? Hiyo "we... witnessed" mmeshuhudia wewe na nani? Ni wapi ambako CDM imefanya mikutano au maandamano bila kutoa taarifa polisi? Au na wewe unashabikia ujinga wowote unaouona? Ni tamko gani tata lililohatarisha usalama?

Mkutano wa Nyololo Iringa ulizuiwa na polisi na kufanyika kwake kukasabbisha mauaji ya Mwangosi. Kule Arusha the same. Kwa upande wa kauli ni ile ya Slaa kumhakikishia kuwa cdm itahakikisha nchi haitawaliki. Pia sms aliyoituma kwa IGP ya kumtaka aandae risasi za kutosha....... Bado?
 
CDM haina mgogoro wowote na askari wa kawaida, TAKUKURU, na usalama wa taifa bali mifumo yake na wakubwa a taasisi hizo wanavyotumika kuua na kunyonga haki za wanyonge!
 
CDM haina mgogoro wowote na askari wa kawaida, TAKUKURU, na usalama wa taifa bali mifumo yake na wakubwa a taasisi hizo wanavyotumika kuua na kunyonga haki za wanyonge!

Tenende hakuna cha mfumo hapo! Duniani kote Military formations ni universal. Hakuna dola iliyo against na inpower govt unless otherwise imeasi.
 
Mkutano wa Nyololo Iringa ulizuiwa na polisi na kufanyika kwake kukasabbisha mauaji ya Mwangosi. Kule Arusha the same. Kwa upande wa kauli ni ile ya Slaa kumhakikishia kuwa cdm itahakikisha nchi haitawaliki. Pia sms aliyoituma kwa IGP ya kumtaka aandae risasi za kutosha....... Bado?

Ukiwa kibaraka wa Magamba angalau ufiche aibu yako kidogo.
 
Tunachotaka ni mabadiliko tu, bora dictator ashike nchi angalau miaka 5 kwanza ashikishe adabu na kurudisha mali na fedha zilizoibwa, ndipo tuanze upya na demokrasia.
 
do you oppose that there is no any corruption in the system of your government of which CHADEMA opposes? mind you its better you live with a dictator leader who aim to transform the rubbish system into cleaned model of living rather than a democratic leader of whom always prepare war ,segregation,selling of national surplus in his own beneficial like JK over
 
I think any style isn't good for our country i.e. dictatorship or democratic system will not be effective after the 2015 election. We need a new style that will make everyone not to feel offended or not waste more time trying to prepare for the next 2020 election but to work for the country.
For instance, CDM can optimize the combination of military rules (20%), democratic rules (50%) and (30%) dictatorship rules mixed with socialism and capitalism where necessary. These kind of system will depend with the areas and reasons to apply.
 
Tatizo kubwa ni kuiga, we have to think of our own style and system of ruling our country.
 
The way Chadema behaves and conducts its political business, calls for an attention of the kind of regime the party will adopt. Its without doubt that we have, since the 2010 general election, witnessed a series of coercion btn chadema and the so called vyombo vya dola (state apparati).

It has been to the extend that cdm is not in trust of them. It blamed, for instance, the TISS accusing it of what it refered as kuchakachua matokeo ya uchaguzi.

To chadema, the police force is nothing than an instrument to undermine the opposition in favor of ccm! Takukuru the same. We still, in the move, witnessed the party's struggle to weaken the power of the law through illegal demonstrations, workers strikes with oppositions political face, uttering ambiguos statements aiming at instigating insecirity etc.

Now lets critically observe the issue as great thinkers of the forum, substantiate the values- pros and cons of the party's face as it prepares to hold the state power in 2015. Shall chadema accept the same as CCM is doing? Shall it turn dictatorial to fight back its self prepared enemy?

I doubt whether the police, TISS etc will be ready to defend the interests which the party is now pro. I predict cdm will turn, if not Kagame then Hitler to blow of the fire it is setting now. What are your points of view?

Ad hominem fallacy .
 
Siamini kama wewe unaongea mambo haya ukiwa Tanzania? Hiyo "we... witnessed" mmeshuhudia wewe na nani? Ni wapi ambako CDM imefanya mikutano au maandamano bila kutoa taarifa polisi? Au na wewe unashabikia ujinga wowote unaouona? Ni tamko gani tata lililohatarisha usalama?[/QUOT

Mkutano wa Nyololo Iringa ulizuiwa na polisi na kufanyika kwake kukasabbisha mauaji ya Mwangosi. Kule Arusha the same. Kwa upande wa kauli ni ile ya Slaa kumhakikishia kuwa cdm itahakikisha nchi haitawaliki. Pia sms aliyoituma kwa IGP ya kumtaka aandae risasi za kutosha....... Bado?
si kweli mkuu, mikutano ya cdm inaombewa kibali kwa polis, baadae polis wanavuruga. Mkuu cdm wanafahamu taratibu.
 
Back
Top Bottom