Chadema ongezeni kipato kwa kuyafanya haya:

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo,nikagundua kuwa rangi za chadema zinapendwa sana na watu,hivyo napenda chadema watafute kiwanda hata nnje ya nchi.kituzalishie product zenye rangi za chadema,halafu ziuzwe kwa watanzania kama namna ya kuongeza mapato ya chama...napendekeza kuwa bidhaa hizo ziwe na ubora wakutosha kama chama chetu kilivyo bora
tunaweza anzia na
1,kofia
2.tshirt
3.kalam
4.daftar
5,kanga
6.nakazalika
nawasilisha kwa viongozi wa chadema ,ikumbukwe kuwa bithaa hizo zitatusaidia kujitangaza
 
KUSAFISHA CHAMA KWANZA NDIO MTAJI MZURI ZAIDI KWA WAKATI HUU.................. But wazo lako naliunga mkono pia
 
Ni wazo zuri sana, ila kwa sasa chama kito kwenye transition to take off, ccm wanahaha kukiuwa chama chetu kwa propaganda chafu(udini, ukabila na fujo), nadhani unakumbuka tumepewa mwaka mmoja na mzee WASIRA, kwa sasa tujielekeze kukinusulu chama chetu, hii ni pamoja na wewe kuwa mbele kueleza sera zetu huku ukipinga hila zozote zinazohusishwa na chama chako, ww wajua kuwa CCM kwa sasa hawalali, pull ua socks, mungu wetu atasimama ma watz wanyonge na maskini, CCM Wanajivuna kwa kuwa na pesa na dola,
 
Umesema sana mkuu,nakuunga mkono 100%
 
Back
Top Bottom