Chadema ombi maalumu msi-generalise sie wana ccm

Ndugu katika Bwana sikuoni kama uko sahihi ina maana UZINZI wa SILAA tuelezee UMMA kwamba wanachadema wote ni WAASHERATI

......... Au jinsi dhaifu anavyoenda kuomba msaada kwa Cameroon ambaye anashabikia ushoga, inamaanisha kuwa CCM wote ni 'mabwabwa'?
 
Nilijua swali hili lingekuja tuuu...!na pia nilijua swala la kuwa hakuna mwanaCCM ambaye hana maslahi binafsi aliyepo CCM sasa. na majibu ya haya ni simple....

Bado wanachama wengi sana wa CCM tupo ndani ya chama chetu bila maslahi binafsi kwa sababu tu tunaamini na ndio ilivyo bila msingi mzuri wa nchi yetu aliowekwa na viongozi makini wa CCM nchi yetu itaayumba.

Hivyo basi narudia tena hivyo basi...kwa aliyeuliza swali tunafanya nn huku....kma unafatilia vzr siasa za nchi yetu jibu la hili lipo wazi sn...CDM ambao mnalilia ustawi wa nchi yetu walinena kuna wana CCM....ngiii tena hadi viongozi wameomba kujiung......aa...utajza mwenyewe watu wanasubiri waone kama haya yanayonenwa mabadiliko ya CCM ni kweli au basi tuu ni usanii unaendelea asante sn sn

Koran inataja alama za mnafiki tatu, wewe unazo mbili hapa. Kama ni mwana CCM unajua pa kuyazungumzia hayo lakini kwa unafiki wako unapaswa kujiondoa mwenyewe usisubiri uje kuaibishwa.
 
nikiona hii rangi na hii sura tumbo linauma

avatar11941_3.gif

Mbona kafanana mbunge wa viti maalum?
 
Ndugu katika Bwana sikuoni kama uko sahihi ina maana UZINZI wa SILAA tuelezee UMMA kwamba wanachadema wote ni WAASHERATI

nipe maana ya uzinzi na uasherati tafadhali, ila nisaidie kunitajia ni mwana-CCM yupi anayendelea kutekeleza siasa za ujamaa na kujitegemea?
 
Back
Top Bottom