CHADEMA nyimbo zao tu zinatosha

Za CCM in zile za wakati wa Nyerere za Usocialist; hakuna nyimbo mpya za Mwinyi, Mkapa, Kikwete
 
Nipo viwanja vya bararu sasa najipatia pepsi baridi na makamanda wenzangu huku kwenye spika zikipigwa nyimbo za kimapinduzi za ukweli.2nasubiri makamamda wakuu wa chama.nitazidi kuwajuza
 
Ule wimbo wa SIMAM KAA, SIMAMA KAA, RUKA RUKA RUKA, SIMAMA KAA..... ulikuwa unaipinduapindua kabisa siku yangu tukiuimba shuleni. Nyimbo za kimapinduzi bwana, ziko vere funny
 
Ule wimbo wa SIMAM KAA, SIMAMA KAA, RUKA RUKA RUKA, SIMAMA KAA..... ulikuwa unaipinduapindua kabisa siku yangu tukiuimba shuleni. Nyimbo za kimapinduzi bwana, ziko vere funny

Always post zako huwa zinanichana mbavu, kuna kipindi ulipotea niliboreka sana
 
Barafu inawaka moto wa mapinduzi,kazi inawakuta wamagamba.sehemu ndogo ya walio lala,wameshtuka na nnaona diwani mteule wa makulu cdm anawasanua wazawa wenzake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom