Kama kuna nafasi nzuri sana ya Chadema kuendeleza kuvuma na "mvuto" wao ni kwa sasa hivi wanapowasusia CCM na Kikwete kuleta msukumo wa nguvu sana kuleta mabadiliko ya Katiba na hata sheria za uchaguzi.
Ni ajabu kuwa Tanzania yetu hii, leo hii kunaaonekana wazi dhuluma kwenye upigaji kura na hasa kura ya Urais, lakini hakuna ruhusa kupinga hato matokeo au kulazimika kwa uchaguzi kurudiwa.
Ama kile alichokifanya Mkapa cha mwenye kura nyingi ndiye mshindi bila hata kupata nusu ya kura ni uuaji wa Demokrasia.
Chadema wana uwezo mkubwa sana kwa msimamo wao walioufanya wa kukataa kumtambua Kikwete kuanza kujenga hoja na hata kesi mahakamani ya kutaka Katiba yetu ibadilishwe na ikidhi mahitaji na matakwa ya Watanzania na si ya CCM pekee.
Hili lisisubiri 2014, lianze kesho!
- Mkuu heshima yako sana, ila nimeshindwa kukuelewa kwamba CCM wana majority bungeni tena kwa mbaaali sana, sasa inakuwaje minority ndio wawe na the upperhand ndani ya bunge au kwenye taifa? I mean Chadema lazima wakubali makosa waliyoyafanya wakati wa kuanzishwa kwa sheria ya vyama vingi, kwamba walikubali under sheria za chama kimoja na kwamba kubadilishwa katiba sasa ni ngumu sana maana hawana majority bungeni.
- Political blackmail ni ngumu sana kufanikiwa kwa sababu CCM inapaswa kufahamu kwamba wakikubali once then itabidi wakubali all the times na from anybody kuwa blackmailed hiyo haiwezi kutusaidia taifa, bado hatuna upinzani mzito wa kuweza kurekebisha mapungufu kwa kasi tunayoitaka hapa JF, mahakama haiwezi kuiamuru serikali kupitisha sheria na kama that is the case basi waipeleke NEC mahakamani, Rais wa sasa hakuhusika na wizi wa kura unlesss kama upo ushahidi, otherwise nafikiri we are getting too excited na mafanikio madogo ambayo itaishia kuharibu kila kitu!
William.