thereitis
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 297
- 41
Kazi ya kuimarisha chama isifanywe na viongozi wa juu pekee. Viongozi ngazi ya Wilaya, kata na vijiji wajengewe uwezo wa kiongozi ili wafanye kazi ya kueneza sera na kuimarisha chama. Kwa sasa CDM ndio tegemeo pekee kwa watanzania walio wengi...... Saa ya ukombozi wa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi ni sasa