Chadema nje wanaalani udikteta lakini ndani ya chama chao kuna udikteta wa kutisha

Udikteta ni moja ya staili ya uongozi ukiacha demokrasia na uholela. Staili zote zinafaa kutumika isipokuwa mtumiaji aangalie ni katika mazingira gani na staili gani itumike kwa faida ya nani. Hivyo udikteta unaruhusiwa kwenye uongozi ila uwe kwa manufaa ya wengi na siyo mtu binafsi.
 
Ukitaka kufukuzwa CHADEMA
1: Tangaza nia ya kugombea uraisi halaafu usiwe unatoka kaskazini.
2: Utake kugombea uenyekiti wa chama.
3: upinge mawazo ya Mbowe na Slaa.

hapo ujue utasepa soon tena kwa visababu vya kusingiziwa.
Shout out 2 TZZK we love u!
 
Nakubaliana na wewe ikiwemo na kuua wale wanaokupinga kama kuwatengenezea ajali,tuhuma na kuwaita wasaliti mbele ya umma.
 
tunajua mkiondoka madarakani mtafikishwa mahakamani kwa ufisadi na mauaji mliyofanya ndio maana hamchoki kuendeleza propaganda kwa gharama yoyote lakini jibu ni rahisi,2015 tunawakimbiza magogoni
 
Mtu yoyote aliye makini na mwenye akili timamu ni lazima ahoji, serikali iwauwe viongozi wa Chadema kwa sababu ipi na kwa manufaa ya nani?

Hao ambao imeshawaua ilifanya hivyo kwa manufaa ya nani?
 
Ukitaka kufukuzwa CHADEMA
1: Tangaza nia ya kugombea uraisi halaafu usiwe unatoka kaskazini.
2: Utake kugombea uenyekiti wa chama.
3: upinge mawazo ya Mbowe na Slaa.

hapo ujue utasepa soon tena kwa visababu vya kusingiziwa.
Shout out 2 TZZK we love u!

Unauhakika na haya unayoyaongea au umekurupuka tu
 
Nakubaliana na wewe ikiwemo na kuua wale wanaokupinga kama kuwatengenezea ajali,tuhuma na kuwaita wasaliti mbele ya umma.

Huo ni mtazamo wako. Watanzania wengi wa leo wanafahamu nani kafanya nini kwa manufaa ya nani. Hilo unalosema sidhani kama ina nafasi kwa watanzania kwani kwa propaganda zinazofanywa na ccm Chadema ingeshakimbiwa na wengi. Hilo la kuua kama linafanyika na sheria ipo ya kuwashitaki na kuwahukumu basi tuilaumu serikali inayoshindwa kuwachukulia hatua wauaji. Tumeiamini serikali halafu inafumbia macho huo uovu mauaji watetezi wa haki za watu, ni kwa nini tuendelee kuiamini serikali hii!
 
Mtu yoyote aliye makini na mwenye akili timamu ni lazima ahoji, serikali iwauwe viongozi wa Chadema kwa sababu ipi na kwa manufaa ya nani?

mtu yeyote asiye na akili timamu hatahoji sababu ya mauaji yana lengo gani.kwa wale wenye akili timamu sababu majibu ni rahisi na wazi sana; moja-serikali ina lengo la kuwatuliza cdm wasipige kelele kuhusu utendaji na uwajibikaji wa serikali na wananchi wengi wasihafamu kinachoendelea katika dhana nzima ya uongozi uliopo madarakani, pili-kuanzisha vuguvugu la mageuzi linalolenga kuiondoa serikali madarakani na hiyo kupelekea kuwaondolea ulaji wa kifisadi uliozoeleka na tatu-kuwaondoa kwenye madaraka ambayo wamezoea na hawawezi kuachia kwa urahisi kwa kuwa madaraka yanasaidia sana katika utekelezaji wa adhma za kibinafsi zaidi na manufaa yao zaidi. upo hapo dogo
 
Hivi mkuu haiwezekani mwenyekiti wa Chadema atoke kanda ingine tofauti na kanda ya kaskazini.

Wingi wa wabunge kutoka Chama cha Mapinduzi katika Bunge la Tanzania, umechangia kwa kiwango kikubwa kukwama kwa maendeleo ya nchi.
Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mwidau (CUF), amesema hayo juzi wakati akikabidhi mashine ya kusukumia maji yenye thamani ya sh milioni 5, kwa wananchi wa kijiji cha Mwera katika wilaya ya Pangani mkoani Tanga ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi zake kwa wakazi hao.
 
Kama unataka kufukuzwa Chadema pinga mawazo ya Dr Slaa au Mbowe, muulize Kafulila.

Wingi wa wabunge kutoka Chama cha Mapinduzi katika Bunge la Tanzania, umechangia kwa kiwango kikubwa kukwama kwa maendeleo ya nchi.
Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mwidau (CUF), amesema hayo juzi wakati akikabidhi mashine ya kusukumia maji yenye thamani ya sh milioni 5, kwa wananchi wa kijiji cha Mwera katika wilaya ya Pangani mkoani Tanga ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi zake kwa wakazi hao.
 
Hata kama Mbowe na hajasoma mnaonaje wanavyowanyima usingizi ninyi magamba wabakaji wa rasilimali zetu?
 
Back
Top Bottom