Chadema nje wanaalani udikteta lakini ndani ya chama chao kuna udikteta wa kutisha

Baada ya kijiuliza swali la msingi jiulize pia kwa nini ilikuwa viongozi wa chadema wawindwe?!, jiulize pia, kama Mwangosi ameweza kuuwawa mbele ya maofisa wa jeshi la polisi wanao linda amani na usalama wa raia na bado wako makazini, je wangewauwa viongozi wa chadema wanao ichachafya serikali wangefanywaje?!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Kuna vitu vingi vilikuwa vimejificha, Marehemu Mwangosi (R.I.P) alikuwa ni mfuasi wa Chadema kumbe.
 
Ritz Ritz huyu ni kiumbe wa aina gani au anaishi kuoitia serikali ya CCm huyu mtu huwezi kumuelewa nahisi huyu ndio wote wanaratibu/ndugu zao/baba zao ndio wateka nyara na wala nchi hii maake sijawahi kusoma line zake zenye manufaa kwa Taifa kila leo yy ni kwa ajili ya maslahi yake na tumbo lake na familia yake huyu mtu ni wa kuogopwa anaweza hata kukuangamiza kwa ajili ya njaa yake Lol!!hope siu moja nitakufahamu then nikuone live halafu nitakuja kudiscuss nini cha kufanya/kukushauri kuhusu mustakabali wa taifa letu nafahamu una hofu viongozi walioko madarakani wakishindwa uchaguzi watakimbilia wapi ndio maana katika line zako kila siku utataja Chadema na kutetea Mafisadi na PoliceCcm Lol!!sio mbali 2015 we shall see lkn ukumbuke usiwe na shaka Chadema hawata wafikisha ndugu/baba zako kotini sema watakuwa na kazi kubwa ya kurudisha nchi mikononi mwa wananchi na kuijenga upya kwani wakianza kuwakamata mtajaza magereza na kula kodi za wananchi tena so usihofu Chadema hawatafanya hivyo mkuu usitoe mapovu bure bure.Peoples Power
 
Yaani udikteta sana ndani yao ona dr slaa hadi amekuwa na kiburi mbowe ni kama mmiliki wa chama hatuezi kuwapa nchi yetu hawa a biiiiigggg Nooooooo
 
Wasukuma wa Mwanza maeneo ya Nyakato, Buzuruga, Mecco, National, Igoma, pamoja na maeneo ya Kirumba, Kitangiri, Ghana, mmesumbuka bure kuwachaguwa madiwani wenu Adamu Chagulani na Matata, watu wenye chama kutoka kaskazini wamewapora haki yenu ya kidomkrasia, wamewafukuza chama madiwani wenu vipenzi wasukuma wenzenu, hizo ni dharau kubwa kwa wasukuma tambueni sasa Chadema ina wenyewe.
 
Ritz Ritz huyu ni kiumbe wa aina gani au anaishi kuoitia serikali ya CCm huyu mtu huwezi kumuelewa nahisi huyu ndio wote wanaratibu/ndugu zao/baba zao ndio wateka nyara na wala nchi hii maake sijawahi kusoma line zake zenye manufaa kwa Taifa kila leo yy ni kwa ajili ya maslahi yake na tumbo lake na familia yake huyu mtu ni wa kuogopwa anaweza hata kukuangamiza kwa ajili ya njaa yake Lol!!hope siu moja nitakufahamu then nikuone live halafu nitakuja kudiscuss nini cha kufanya/kukushauri kuhusu mustakabali wa taifa letu nafahamu una hofu viongozi walioko madarakani wakishindwa uchaguzi watakimbilia wapi ndio maana katika line zako kila siku utataja Chadema na kutetea Mafisadi na PoliceCcm Lol!!sio mbali 2015 we shall see lkn ukumbuke usiwe na shaka Chadema hawata wafikisha ndugu/baba zako kotini sema watakuwa na kazi kubwa ya kurudisha nchi mikononi mwa wananchi na kuijenga upya kwani wakianza kuwakamata mtajaza magereza na kula kodi za wananchi tena so usihofu Chadema hawatafanya hivyo mkuu usitoe mapovu bure bure.Peoples Power

Wala usipate shida kunifahamu wewe njoo Kimara Temboni kuna kijiwe cha kahawa ulizia Ritz, utanipata mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,Ndani ya Chadema hakuna demokrasia hakuna uvumilivu wowote Chadema imewatimua madiwani wa Arusha, Chadema imewatimua madiwani wa Mwanza, Chadema walitaka kumvua uanchama mbunge wao, Zitto Kabwe alipolikataa kusudio lao la kususia hotuba ya rais na kutoka bungeni, Chadema pia walitaka pia kumfukuza John Shibuda alipotofautiana na maagizo yao.
Hapa tatizo lako ni elimu. Unahitaji elimu ya uraia. Nenda kasome vitabu vya Uraia book 3 utajifunza leadership styles!. Hapo utaelewa CDM inafanya nini?
 
Kwa hiyo ulitaka hao madiwani waachwe wajipime wenyewe.......

Hivi wewe mtu akikuvamia nyumbani na kuanza kukuibia na kuharibu watoto wako utakaa tuu umwambie AJIPIME aone kama inafaa??? Au nia yako utumie akili za wenzako zikiisha ndio uanze kutumia zako??? Embu tumia akili yako...

Cdm haimfumbii macho mwizi,

Mnaambiwa huko uswiss kuna usd mil 300...mnajifanya hamsikii...

Weka itikadi pembeni tujadili ukweli...
 
Nadhani hapo tunaenda sawa kwa faida ya JF naomba unitajie elimu ya Lema pamoja na Mbowe, tuendelee na mjadala mkuu wangu.

hiyo sio mada mbele yetu ila kama unataka kujua elimu zao shugulisha kichwa kidogo usipende spoonfeeding nenda kwenye mtandao wa bunge utazipata kwa bahati nzuri pamoja na kuwa lema sio mbunge bado cv yake ipo kwenye website ya bunge!!
 
Wala usipate shida kunifahamu wewe njoo Kimara Temboni kuna kijiwe cha kahawa ulizia Ritz, utanipata mkuu.

kumbe unashinda vijiwe vya kahawa sasa naanza kupata mantiki ya wewe kuchangia ujinga kila siku hapa! endelea kufunguka!!
 
OOOh!! Ritz nimekupata kumbe kweli ndio wale wale Magamba original kumbe unapatikana kwenye vijiwe vya kahawa sasa hapo unakusanya ushuzi then the end of the day Nepi anakukabidhi chako pole sana mie sina muda wa kuja huko,sema nakupa tu pole kwa matatizo ya ugonjwa wako kwani hata ukipelekwa Milembe MaDr watakukataa.
Nimeona nilete line hizi nitoke kwenye mada kabisa kwa kuwa mtu akiweka ushuzi hakuna sababu ya kujibu hoja itabidi ujibu ushuzi wewe na Nepi hamna tofauti kwani mie huwaga nikiona line za watu kama wewe/Nepi/Mwingulu huwaga najibu hivi hivi kwa kuwa wanatoa mapovu kama wewe.
 
Chadema mnajiita chama cha demokrasia, sijui demokrasia gani ambayo mnayo haiwezekani mnakaa kikundi cha watu wachache mnatoa maamuzi bila kuwashirikisha wananchi wa Mwanza, mnawavua uanachama madiwani wa Mwanza, wenye haki hiyo walikuwa wapiga kura wao sio Dr Slaa, Lema na Mbowe, huo ni udikteta.
Umekuwa msemaji wa CDM? Pilipili usiyoila inakuwashia nini?. Watu wengine Bwana, tangu uingie ugonjwa wa kuwashwa washwa, ..wanawaashwa kishe_ _!
 
Yaani udikteta sana ndani yao ona dr slaa hadi amekuwa na kiburi mbowe ni kama mmiliki wa chama hatuezi kuwapa nchi yetu hawa a biiiiigggg Nooooooo

Mkuu embu nitajie wenyeviti wa cdm waliopita kisha nitajie wenyeviti wa cuf waliopita pamoja na vyama vingine vya upinzani.
 
Kuna vitu vingi vilikuwa vimejificha, Marehemu Mwangosi (R.I.P) alikuwa ni mfuasi wa Chadema kumbe.

So WHAT?? Kwa hiyo hukumu yake ndio kifo??? KAA KIMYA KUHUSU MWANGOSI MTU ANALIPULIWA KWA BOMU ALAFU UNABANA PUA KUNA MAMBO YAMEJIFICHA...Mungu atawalipa hapa hapa duniani..
 
kumbe unashinda vijiwe vya kahawa sasa naanza kupata mantiki ya wewe kuchangia ujinga kila siku hapa! endelea kufunguka!!

Mkuu wangu hizo ni dharau kwa hiyo nyie Chadema na sisi wauza kahawa mbali mbali? Tutakutana mwaka 2015 kwenye box la kupigia kura.
 
hiyo sio mada mbele yetu ila kama unataka kujua elimu zao shugulisha kichwa kidogo usipende spoonfeeding nenda kwenye mtandao wa bunge utazipata kwa bahati nzuri pamoja na kuwa lema sio mbunge bado cv yake ipo kwenye website ya bunge!!

Mkuu wewe ndio umeleta mambo ya elimu ukaniambia nikupe CV yangu inawezekana sina elimu, na wewe ndio umetuambia Chenge kasoma Harvard, kukuuliza Lema na Mbowe wamesoma wapi umekuwa mkali, na kuikatana mada yako ya elimu, wewe ni mfuasi wa Chadema umejua Chenge kasoma wapi lakini Lema na Mbowe utaki kusema wamesoma wapi.
 
mkuu pia ni vyema ukatupia na CV ya Lukuvi na ututajie chuo kilichompa udokta dhaifu.
 
CCM ndo wamezoea kuvumilia ujinga, hata wezi wa pesa zetu wanawavumilia, uvumilivu wa CCM ndo uliotufikisha hapa..Nchi ni tajiri watu wake ni masikini.
 
CCCCM ndo wamezoea kuvumilia ujinga, hata wezi wa pesa zetu wanawavumilia, uvumilivu wa CCM ndo uliotufikisha hapa..Nchi ni tajiri watu wake ni masikini.

Mkuu ebu mwambie Dr Slaa na Mbowe wasiwe double standard, Chagulani, Matata, na Shibuda nani kaichafua sana Chadema, kama mna ubavu jaribuni kumgusa Shibuda au Zitto.
 
Back
Top Bottom