Chadema nilikupenda tangu zamani

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,480
14,323
cuf_safari.JPG

Tangu nipo CUF nilikuwa nakupenda Chadema- Proffesa Abdallah Safari​
 
NAOMBENI WANA JF MNIJUZE KUHUSIANA NA HILI LA MICHAEL WAMBURA NA TFF MAANA NAONA KILA AKITOKEZA KWENYE KUGOMBEA NAFASI YOYOTE YA UONGOZI WA MPIRA ANAPIGWA CHINI KULIKONI
YAMETIMIA kwa Michael Wambura kuenguliwa katika kinyang’anyiro cha kuwania uenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mara (FAM) katika uchaguzi utakaofanyika Novemba 13, mwaka
huu.
Uamuzi wa kuliondoa jina la Wambura ulifikiwa na kikao cha Kamati ya Uchaguzi cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kilichofanyika Jumapili na Jumatatu chini ya Mwenyekiti wake Deogratius Lyato.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Lyato alisema kamati imeondoa jina la Wambura kwa sababu mgombea huyo aliwahi kupeleka masuala ya soka mahakamani kinyume na Katiba ya
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa),TFF na FAM.
Lyato alisema Wambura aliwahi kufungua kesi ya madai mwaka 2010 kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Mwenyekiti wa klabu ya Simba akiwa mwanachama wa klabu hiyo.
Alisema kwa kufanya hivyo alivunja katiba ya Fifa,TFF, FAM na Simba ambazo zote zinakataza masuala ya soka kupelekwa kwenye mahakama za kawaida.
Akizungumzia kigezo cha uadilifu dhidi ya mgombea huyo Lyato, alisema suala hilo lilishafanyiwa uamuzi na Kamati ya Rufaa ya TFF tangu mwaka 2008.
<!-- AdOther Now V1.53 --><!-- Post[count: 2] --><SCRIPT type=text/javascript><!--google_ad_client = "pub-1213643583738263";/* 234x60, AdSenseNow created 3/1/09 */google_ad_slot = "5294177075";google_ad_width = 234;google_ad_height = 60;//--></SCRIPT><SCRIPT type=text/javascript src="http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/show_ads.js"></SCRIPT><INS style="BORDER-BOTTOM: medium none; POSITION: relative; BORDER-LEFT: medium none; PADDING-BOTTOM: 0px; MARGIN: 0px; PADDING-LEFT: 0px; WIDTH: 234px; PADDING-RIGHT: 0px; DISPLAY: inline-table; HEIGHT: 60px; VISIBILITY: visible; BORDER-TOP: medium none; BORDER-RIGHT: medium none; PADDING-TOP: 0px"><INS style="BORDER-BOTTOM: medium none; POSITION: relative; BORDER-LEFT: medium none; PADDING-BOTTOM: 0px; MARGIN: 0px; PADDING-LEFT: 0px; WIDTH: 234px; PADDING-RIGHT: 0px; DISPLAY: block; HEIGHT: 60px; VISIBILITY: visible; BORDER-TOP: medium none; BORDER-RIGHT: medium none; PADDING-TOP: 0px" id=aswift_3_anchor><IFRAME style="POSITION: absolute; TOP: 0px; LEFT: 0px" id=aswift_3 vspace=0 height=60 marginHeight=0 frameBorder=0 width=234 allowTransparency name=aswift_3 marginWidth=0 scrolling=no hspace=0></IFRAME></INS></INS>
Alisema kwa mujibu wa katiba ya TFF, Kamati ya Uchaguzi haina mamlaka ya kutengua uamuzi wa kamati ya rufaa ya shirikisho hilo na chombo pekee kinachoweza kufanya hivyo ni Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo Kimataifa (CAS).
Akijibu swali nini Wambura anapaswa kufanya ili kujisafisha na kosa hilo la kwenda mahakamani, Lyato alisema hawezi kumzungumzia mgombea huyo ila kama kiongozi mzoefu katika masuala ya soka anajua nini cha kufanya ili kujisafisha kwa mujibu wa taratibu zilizopo.
Kuhusu suala la nia ya Wambura kutaka kuifikisha TFF mbele ya taasisi ya kupambana na kudhibiti rushwa(Takukuru), alisema ni uamuzi mzuri ili kila kitu kiwekwe bayana huko.
Hata hivyo, Lyato alisema kamati hiyo imetupilia mbali pingamizi dhidi ya mgombea huyo kama lilivyowasilishwa na Tito Osoro aliyekuwa akipinga Kamati ya Uchaguzi ya FAM
kumpitisha mgombea huyo kwa madai pingamizi hilo limekosa sifa kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa wanachama wa TFF ibara ya 11(2) na (3).
Akizungumzia suala hilo Wambura alisema amesikitishwa sana ingawa hakushtushwa na kuwa bado ataendelea na mapambano kwa kufuata ngazi zinazotakiwa ili apate haki yake.
Source: Habarileo
 
Back
Top Bottom