GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
- Thread starter
- #21
acheni mawazo mgando jamani, huyo mwananchi anayekosa hata kifungua kinywa asubuhi anawezaje kulima? na huko kulima tutalimaje na wakati mnaanzia propaganda za kilimo kwanza ili kufufua maduka yenu (CCM leaders) ya pembejeo na tender za kuagiza? hukumkulima akiumia kwa kuuza mazao bila vat na kununua kila anachohitaji kikiwa na vat/ na hapo pia tunakosea kuwaelimisha wananchi?
CDM wanawapotezea wakulima muda wao wa kufanya shughuli za kilimo, na mvua hizi zikipita na wasipo lima , nyie mtawapa hela za kujikimu ? mtawakimbia na kuilaumu serikali iwape chakula kutoka SGR, kumbe chanzo ni nyie. Waacheni wananchi waende kwenye shughuli za uzalishaji mali