CHADEMA ni wanaharakati na sio wanasiasa

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Kutokana yale yanayoendelea hivi sasa kwa CHADEMA , ni wazi kabisa CHADEMA sio chama cha siasa , ni chama cha WANAHARAKATI.

Kwa hivyo wanatakiwa wajibadilishe kutoka uana harakati kuwa wanasiasa, la sivyo wabadilishe usajili kwani wana harakati wanajulikana wapi waliposajiliwa kama TGNP , TAWLA etc . Ni vyema wakajiunga na hivyo vyama vya uana harakati , huo ni ushauri wa bure !
 
Huu ndio mwisho wako wa uwezo wa kufikiri? kwa taarifa yako wanaharakati ndilo kundi la mabadiliko dunia mzima, usikurupuke kuongea kitu ambacho huna ufahamu nacho. au pilau la hapo Lumumba limeshakulevya?
 
what demarcates mwanaharakati na mwanasiasa? do this homework then come back again for another assignment.
 
Kutokana yale yanayoendelea hivi sasa kwa CDM , ni wazi kabisa CDM sio chama cha siasa , ni chama cha WANAHARAKATI. Kwa hivyo wanatakiwa wajibadilishe kutoka uana harakati kuwa wanasiasa, la sivyo wabadilishe usajili kwani wana harakati wanajulikana wapi waliposajiliwa kama TGNP , TAWLA etc . Ni vyema wakajiunga na hivyo vyama vya uana harakati , huo ni ushauri wa bure !

Hizi habari nimezisikia pia kwenye Mihadhara yetu Temeke!
 
Huu ndio mwisho wako wa uwezo wa kufikiri? kwa taarifa yako wanaharakati ndilo kundi la mabadiliko dunia mzima, usikurupuke kuongea kitu ambacho huna ufahamu nacho. au pilau la hapo Lumumba limeshakulevya?

Basi mmejisajili siko, wanaharakati wanasajiliwa pale wizara ya mambo ya ndani, na vyama vya siasa vinasajiliwa ofisi ya waziri mkuu chini ya msajili wa vyama vya siasa, unaweza sasa kuwashauri CDM wajisajili upya kunako stahiki
 
nakumbuka hata wakati wakimpokea yule jamaa aliyekuwa mwenyekiti wa mbeya walisema haya maneno. mabadiliko yanalitwa na wanaharakati ambao hawachoki kutafuta wanachokitaka ila wanasiasa huwa wanachoka so we keep on moving to see the land which our father have strugggle to liberate frm germany .
 
hizi habari nimezisikia pia kwenye mihadhara yetu temeke!

haina ubishi cdm ni chama cha umoja wa wanaharakati wanaotumia nguvu nyingi kuliko busara ili kuhakikisha malengo yao yanatimizwa pasipo kujali mustakabali wa watz.
Ukitaka kujua utashi wa chadema ni kuingia ikulu pasipo kujali maisha ya wananchi wa kawaida ni wakati huu wa kilimo kwenda mikoani wakigawana ruzuku huku wananchi wakikosa kushiriki shughuli za kilimo.

wakerereketwa wa cdm fikirini mara mbili kwani mnadhuru jitihada za wananchi kujitafutia ridhiki kipindi hiki cha kulima ama mnatibua kwa makusudi jitihada za serikali iliyopo madarakani kuwainua kipato cha watz kupitia kilimo kwanza????
 
Unadhihirisha vile ulivyo, Hata kueleza aina ya harakati hizo huwezi! Hujaenda tofauti na medula yako! Filososi ya CDM imejitenga na siasa mgando za Afrika hivyo yahita mwangaza murua kuenenda na siasa za ukombozi CDM zenye shinikizo la umma!

Penda kujifunza sio kufundisha!!
 
Siasa zajulikana bana, tizama nchi nyingi za dunia wanazofanya siasa hata huko kwa vinara wa demokrasia na wenye kuendelea kwenye siasa , wanafanya siasa na si uana harakati , ni vitu viwili tofauti hivyo. Hili laonyesha , uelewa wa watu/viongozi wa CDM ni mfinyu kama punje ya mchanga !
 
nakumbuka hata wakati wakimpokea yule jamaa aliyekuwa mwenyekiti wa mbeya walisema haya maneno. mabadiliko yanalitwa na wanaharakati ambao hawachoki kutafuta wanachokitaka ila wanasiasa huwa wanachoka so we keep on moving to see the land which our father have strugggle to liberate frm germany .

Nashukuru kwa kukiri hilo kuwa ni wanaharakati na si wanasiasa, sasa washauri wenzako watafute usajili unao husika wa vyama vya harakati
 
Basi mmejisajili siko, wanaharakati wanasajiliwa pale wizara ya mambo ya ndani, na vyama vya siasa vinasajiliwa ofisi ya waziri mkuu chini ya msajili wa vyama vya siasa, unaweza sasa kuwashauri CDM wajisajili upya kunako stahiki
bora umejitambulisha kuwa si muungwana nilijua umetoa hoja kama muungwana kumbe mbea? alikuwa sahihi aliyeuliza kama ni KE au ME
 
Fikra ndogo kama kawaida yenu watu/viongozi wa CDM. Nendeni mkajisajili kunako husika , wanaharakati hawasajiliwi na Tendwa m**k**e wangu
 
haina ubishi cdm ni chama cha umoja wa wanaharakati wanaotumia nguvu nyingi kuliko busara ili kuhakikisha malengo yao yanatimizwa pasipo kujali mustakabali wa watz.
Ukitaka kujua utashi wa chadema ni kuingia ikulu pasipo kujali maisha ya wananchi wa kawaida ni wakati huu wa kilimo kwenda mikoani wakigawana ruzuku huku wananchi wakikosa kushiriki shughuli za kilimo.

wakerereketwa wa cdm fikirini mara mbili kwani mnadhuru jitihada za wananchi kujitafutia ridhiki kipindi hiki cha kulima ama mnatibua kwa makusudi jitihada za serikali iliyopo madarakani kuwainua kipato cha watz kupitia kilimo kwanza????
acheni mawazo mgando jamani, huyo mwananchi anayekosa hata kifungua kinywa asubuhi anawezaje kulima? na huko kulima tutalimaje na wakati mnaanzia propaganda za kilimo kwanza ili kufufua maduka yenu (CCM leaders) ya pembejeo na tender za kuagiza? hukumkulima akiumia kwa kuuza mazao bila vat na kununua kila anachohitaji kikiwa na vat/ na hapo pia tunakosea kuwaelimisha wananchi?
 
Back
Top Bottom